Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

Miaka mitatu tu tayari hali mbaya, me sidhani kama anamhitaji
 
Ukweni nimeongea nao leo nao walikuwa hawajui, ila wameniambia itakuwa ni hasira zikiisha atarudi, japo mtoto ndio ananiumiza sana akili.
Hasira ziisha asirudi mkuu, utamfuata utakapoona wewe inafaa.

Kwa sasa jikite kulea mtoto, usiumie sana kichwa ila hakikisha unapata nafasi ya kuonana na mwanao.


Ukishatuliza akili anza kutafuta mke anaejitambua
Dah sahihi mkuu.

Nimewaza mengi sana kwa sasa naona nibadili dini, nijitenge kabisa na maisha niliyo yazoea, nijiweke karibu na mwenyezi mungu.

Kiufupi niwe mtu wa tofauti kabisa na kawaida.
Mkuu acha kupagawa

Huyo mtoto ukifa maisha hayatasimama.


Badala ya kubadili dini hama wilaya au mkoa ukakae mbali kama hujajenga bado
 
Kesi ndogo sana hio wewe mfuate alipo huko nenda kaongee nae rudisha maelezo ya mema ya miaka mingine iliyopita yaelezee yaani fanya restore to default memory hapo lazima ataelewa
Mke au mume abembelezwi kiasi hicho.
Aaache ujinga afanye mambo yake. Huyo mtoto ataishi vizuri tu.
Akilia mkubwa atamtafuta baba yake.
 
Mke au mume abembelezwi kiasi hicho.
Aaache ujinga afanye mambo yake. Huyo mtoto ataishi vizuri tu.
Akilia mkubwa atamtafuta baba yake.
Huu ujinga ndio wanaofanya vijana wengi mjini ndio inapelekea ongezeko la mashoga malezi ya mama bila baba huoni idadi ya mashoga inaongezeka kwa kasi sana?
 
Piga kimya endelea na maisha atarudi mwenyewe. Huyo umri unamsumbua.

Kingine. Achana na simu ya mwanamke fanya kama haipo. Utaishi kwa amani.
 
Huu ujinga ndio wanaofanya vijana wengi mjini ndio inapelekea ongezeko la mashoga malezi ya mama bila baba huoni idadi ya mashoga inaongezeka kwa kasi sana?
Mtoto analelewa na baba pekee au wazazi wote bado anaweza kuwa shoga.
Kuna mangi mmoja wa kuitwa Baba Awilo jijini Dar alikuwa anaishi na mtoto wake wa kiume peke yao.
Akirudi usiku kalewa anamfanyia mambo ya pwani mwanae. Dogo akachoka akaanza kutoroka na kulala nje.
 
Nyie wote ni watoto aisee
 
Dah sahihi mkuu.

Nimewaza mengi sana kwa sasa naona nibadili dini, nijitenge kabisa na maisha niliyo yazoea, nijiweke karibu na mwenyezi mungu.

Kiufupi niwe mtu wa tofauti kabisa na kawaida.
Kwanini ubadili dini? Uliyonayo sasa hivi huiamini?

Mungu hayupo ishi vizuri tenda mema, kula maisha kistaarabu.
 
Usije kuoa mtangazaji au mwandishi wa habari hao ni wanaharakati waliopoa. Pole sana Mkuu sasa hivi usimsumbue relax kaa kimya wala usimpigie wala usimtext endelea na mambo yako jifanye haujali chochote nakwambia ndani ya wiki moja akishaliwa na huyo jamaa yake atakutafuta kwa machozi
 
Mambo ya ******* kabisa haya, miaka 29 mwanaume unaoa kutafuta nini!? Huyo mwanamke ni mkubwa kwako na keshaona kabisa haumfit.
 
Ila toxic relationships na jamii zinawabrain wash watu na kuwafanya muone abuse na usaliti ni mambo ya kawaida kabisaaaπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Kuna wanaawake ili mambo yaende lazima wapigwe kidogo. It is not an abuse...

Ila mwanamke kusaliti hili halikubaliki kabisaa
 
Kuna wanaawake ili mambo yaende lazima wapigwe kidogo. It is not an abuse...

Ila mwanamke kusaliti hili halikubaliki kabisaa
Ndio kuwa brain washed huko. Hiyo ni abuse. Wewe nani anakupiga pale mambo hayaendi?
 
Acha kumfuatilia fanya mishe zako. Ukiendelea kumfuatilia atapata kiburi

Ila ukipata taarifa kuhusu mwanao toa huduma.

Kumbuka kuwa ukifa mwanao atakuwa fresh tu, kwahiyo usijipe umuhimu sana
Mtu kaamua mwenyewe kulea, kwanini ujipe stress
 
Nilicho note kumbe mbwa aina ya Malinois ni mzuri kufatilia mademu wezi wakikuibia ghetto 😊😊 itabidi nimfuge make kuna kibinti huwa sikielewi na siku nikijichanganya tu kitanishangaza hapa ghetto, kimekaa kiwizi wizi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…