Ushauri: Baada ya ugomvi Mke Wangu kabeba kila kitu ndani, kaondoka na Mwanangu wa Miaka 2.5

Kesi ndogo sana hio wewe mfuate alipo huko nenda kaongee nae rudisha maelezo ya mema ya miaka mingine iliyopita yaelezee yaani fanya restore to default memory hapo lazima ataelewa
Mwanamke akisha anza ma zingzong na kiburi mkuu hata umletee stories gani unapoteza energy tu bure mpaka huko alikopeleka akili kimkute kitu tofauti na alivyo tarajia ndo atakukumbuka (na akitaka kurudi usikubali).... Huyo amuache tu a move on, mwamba aletee mtoto tu...
 
Atakae kaza fuvu kwenye hili aje nimpige KIGANJA cha Tako na Kichwa kumkumbusha.. kamwe usioe au kuzaa na Mtangazaji au Mwandishi wa Habari wa Redio au TV utakuja kujuta ni Feminists sana hawa watu alafu wanajifanya wako juu ya kila kitu na ujuaji mwingi kumbe hamna lolote... Watangazaji na waandishi wa habari wa kike wengi wao ni ma Singo Moms au Wadangaji professional kutokana na nature ya kazi yao.!!
 
Ufoo Saro?
 
Endelea na maisha yako, ukishazaa nao hao mbwa wanajitegeza sana na sisi huwa tunaleta huruma.ya watoto huyo kakupunguzia Mashuzi kaka songa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…