Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari!
Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija).
Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya, Amerika na Asia kufanya ushawishi wa hali ya juu kwa matajiri wakubwa na kampuni kubwa kuja kuwekeza Tanzania.
Ikiwezekana wapewe documentaries za rasilimali na fursa za nchi yetu waende nazo huko ng'ambo.
Nchi zilizoendelea huleta mabalozi katika nchi zinazoendelea ili kujiimarisha kiusalama na kiutawala. Sisi tupeleke mabalozi nje kwasababu za kiuchumi maana tu mafukara wa kutupwa. Imagine leo karne ya 21 ndipo Waziri wa nishati anajitapa kuweka umeme nyumba ya tope!
Leo hiii bado kuna harambee ya kuchangia madawati shuleni.
Watu wenye ushawishi kama Makonda ndio wanapaswa kupewa ubalozi na sio kupeana kwa kuoneana aibu. Binafsi simtaki Makonda ila sometimes anafaa.
Ikiwezekana tupunguze mabalozi kwenye nchi maskini tuwahamishie nchi za ng'ambo ili watuletee investors.