Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa wote wakula peasa za bure hakuna wanachokileta kuifaidisha nchiOrodha ya mabalozi ambao wakobnje na ni mzigo kwa TAIFA;-
1. Balozi wa tanzania Kuwait
2. Balozi wa tanzania Brazil
3. Balozi wa tanzania Uingireza
4. Balozi wa tanzania Kenya
5. Balozi wa tanzania msumbiji
6. Balozi wa tanzania south Africa
7. Balozi wa tanzania Australia
8. Balozi wa tanzania Canada
9. Balozi wa tanzania Norway
10. Balozi wa tanzania Finland
11. Balozi wa tanzania ujerumany
12. Balozi wa tanzania sudan
Fukara ni ww peke akoHabari!
Ni wakati sasa wa nchi kubana matumizi na kuruhusu matumizi matakatifu tu (matumaini yenye tija).
Ni muda muafaka Sasa kwa mabalozi wa Tanzania katika nchi zilizoendelea za Ulaya, Amerika na Asia kufanya ushawishi wa hali ya juu kwa matajiri wakubwa na kampuni kubwa kuja kuwekeza Tanzania.
Ikiwezekana wapewe documentaries za rasilimali na fursa za nchi yetu waende nazo huko ng'ambo.
Nchi zilizoendelea huleta mabalozi katika nchi zinazoendelea ili kujiimarisha kiusalama na kiutawala. Sisi tupeleke mabalozi nje kwasababu za kiuchumi maana tu mafukara wa kutupwa. Imagine leo karne ya 21 ndipo Waziri wa nishati anajitapa kuweka umeme nyumba ya tope!
Leo hiii bado kuna harambee ya kuchangia madawati shuleni.
Watu wenye ushawishi kama Makonda ndio wanapaswa kupewa ubalozi na sio kupeana kwa kuoneana aibu. Binafsi simtaki Makonda ila sometimes anafaa.
Ikiwezekana tupunguze mabalozi kwenye nchi maskini tuwahamishie nchi za ng'ambo ili watuletee investors.
Fukara ni ww peke ako
Mimi huwa sina muda wa kujibishana na watu wa haiba yako.Fukara ni ww peke ako
Sisi hatuna majasusi wa uchumi kuiba taarifa za fursa nje wazilete tukawekeze huko bali wao wako bize kupambana na upinzani, kudukua simu za kina Mbowe,zitto, kuisaidia ccm kuiba ushindi na sio kuisaidia nchi isonge vijana waone fursa za nje.Ni sawa mkuu pamoja na kuwa Wana data kamili na ni kweli lazima wawe na data maana matajiri wa nchi za wenzetu mataifa yao yanawathamini sana hata kuwapa taarifa nyeti za kijasusi kwa maswala ya kibiashara kwa taifa Fulani lakini pia balozi ana michango mkubwa sana katika kutoa ushawishi japo kidogo kwa wale wawekazaji wadogo wadogo wanaochipukia
kama walikuja wako wapi sasa hadi muanze kuwatafuta kwa tochi ?Wee ndiyo mwenye mawazo ya kibwege. Kipindi kile cha makinikia wawekezaji walikuwa hawajii?
kama walikuja wako wapi sasa hadi muanze kuwatafuta kwa tochi ?
Mabalozi wengine KPA zao ni ulinzi na usalama sio uchumi. FYI.Habari!