Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Nimekutana na mdau anasema Serikali ina mpango wa kukwepesha barabara ya Morogoro - Mikumi ipite Kilosa ili kuwanusuru wanyama mbugani.
Ukitazama ramani inaonekana umbali wa kutoka Morogoro kupitia Dumila au Kimamba ni mbali hivyo itaongeza gharama za ujenzi na matumizi ya nishati kwa wenye vyombo vya usafiri, umbali huo unaweza kufupishwa kwa kupitisha barabara hiyo Mangaye - Kilosa - Mikumi