Ushauri Barabara ya Morogoro - Kilosa Kuikwepa Mikumi National Park

Ushauri Barabara ya Morogoro - Kilosa Kuikwepa Mikumi National Park

Ni pamoja na Mjini, kwa muhomwa na kichangani pia, Zimetengwa na Uhindini na Mtendeni
Hawajapitisha mahandaki ya kuvukia chini ya reli kama lile dogo la reli ya zamani lililokuwa linajaa maji msimu wa mvua?
 
wananchi wapimiwe viwanja na mashamba kuepusha chaos kama inayotokea saizi ngorongoro, handeni Tanga,na kilosa migogoro ya ardhi kila kukicha
Mkuu viwanja vingi vilivyopimwa haviendelezwi vimebaki mapori watu wanalima mahindi, si ingekuwa busara kumaliza hivyo kwanza ndipo vipimwe vingine?
 
na wakati kukatiza mbugani ni nusu saa tu jamani watanzania tusiwe primitive sana hii nchi ina mambuga kibao hii mikumi isitake kutuongezea garama kama mimi ningekua rais ningeacha national park kama kumi tu nyingine ningeruhusu wananchi wapimiwe viwanja na mashamba kuepusha chaos kama inayotokea saizi ngorongoro, handeni Tanga,na kilosa migogoro ya ardhi kila kukicha
pamoja na chonwe na udung'u pia
 
Mkuu viwanja vingi vilivyopimwa haviendelezwi vimebaki mapori watu wanalima mahindi, si ingekuwa busara kumaliza hivyo kwanza ndipo vipimwe vingine?
watu wanavishikilia vipande bei
 
Back
Top Bottom