Unatoa huu ushauri wewe kama nani bila kutushirikisha wadau? Hizo hela utatoa wapi? Ama utaenda kutembeza bakuli? Inaonekana mvua kali inayonyesha morogoro imetifua ubongo wako.Nimekutana na mdau anasema Serikali ina mpango wa kukwepesha barabara ya Morogoro - Mikumi ipite Kilosa ili kuwanusuru wanyama mbugani.
Ukitazama ramani inaonekana umbali wa kutoka Morogoro kupitia Dumila au Kimamba ni mbali hivyo itaongeza gharama za ujenzi na matumizi ya nishati kwa wenye vyombo vya usafiri, umbali huo unaweza kufupishwa kwa kupitisha barabara hiyo Mangaye - Kilosa - Mikumi
View attachment 2119226
Nimecheka sana. Nilijua tu nakutarajia utanijibu hivi
Ujenzi wa barabara ya kutoka kilosa, kupitia Ulaya, Kilosa, na kuibukia Dumila ni ya muda mrefu mbona? Tayari ujenzi kiwango cha lami kutoka Dumila mpaka kilosa mjini umekamilika, kimebaki kipande cha kilosa, ulaya kutokea mikumi.Unatoa huu ushauri wewe kama nani bila kutushirikisha wadau? Hizo hela utatoa wapi? Ama utaenda kutembeza bakuli? Inaonekana mvua kali inayonyesha morogoro imetifua ubongo wako.
Connect your tongue with your brain.
Kammmmonnn
Oh kumbe mambo yako kwenye pipelineUjenzi wa barabara ya kutoka kilosa, kupitia Ulaya, Kilosa, na kuibukia Dumila ni ya muda mrefu mbona? Tayari ujenzi kiwango cha lami kutoka Dumila mpaka kilosa mjini umekamilika, kimebaki kipande cha kilosa, ulaya kutokea mikumi.
Juzi nimetinga na kipasso changu mpaka kwa'' behewa'' full Mkeka.Ujenzi wa barabara ya kutoka kilosa, kupitia Ulaya, Kilosa, na kuibukia Dumila ni ya muda mrefu mbona? Tayari ujenzi kiwango cha lami kutoka Dumila mpaka kilosa mjini umekamilika, kimebaki kipande cha kilosa, ulaya kutokea mikumi.
wasalimie kivungu.Ukitokea kwa chamo hapo darajani inapooita reli hiyo bara bara inayotokea azimio inatoboa mpaka kilosa kwa boda boda ni masaa mawili tu
Daah kwa behewa sasa pametenganishwa na uhindini baada ya tuta la reli kupita ....Juzi nimetinga na kipasso changu mpaka kwa'' behewa'' full Mkeka.
nasuburia kwa hamu barabara ya kilosa Mikumi via Ulaya, 73km. Ili nitinge na bajaji.
Asavari, shida ya kwenda ma'home' ipungue.
soon, dream will became a reality
na wakati kukatiza mbugani ni nusu saa tu jamani watanzania tusiwe primitive sana hii nchi ina mambuga kibao hii mikumi isitake kutuongezea garama kama mimi ningekua rais ningeacha national park kama kumi tu nyingine ningeruhusu wananchi wapimiwe viwanja na mashamba kuepusha chaos kama inayotokea saizi ngorongoro, handeni Tanga,na kilosa migogoro ya ardhi kila kukichaUkitokea kwa chamo hapo darajani inapooita reli hiyo bara bara inayotokea azimio inatoboa mpaka kilosa kwa boda boda ni masaa mawili tu
Juzi nimetinga na kipasso changu mpaka kwa'' behewa'' full Mkeka.
nasuburia kwa hamu barabara ya kilosa Mikumi via Ulaya, 73km. Ili nitinge na bajaji.
Asavari, shida ya kwenda ma'home' ipungue.
soon, dream will became a reality
na wakati kukatiza mbugani ni nusu saa tu jamani watanzania tusiwe primitive sana hii nchi ina mambuga kibao hii mikumi isitake kutuongezea garama kama mimi ningekua rais ningeacha national park kama kumi tu nyingine ningeruhusu wananchi wapimiwe viwanja na mashamba kuepusha chaos kama inayotokea saizi ngorongoro, handeni Tanga,na kilosa migogoro ya ardhi kila kukicha
PAmoja Mkuu.Daah kwa behewa sasa pametenganishwa na uhindini baada ya tuta la reli kupita ....
Ni pamoja na Mjini, kwa muhomwa na kichangani pia, Zimetengwa na Uhindini na MtendeniDaah kwa behewa sasa pametenganishwa na uhindini baada ya tuta la reli kupita ....
Hapo darajani Msowero? Utakuwa Lebanoni nini??😆Mkuu uwe unapitia hapa MSOWERO nikubebeshe MTWIKE
Napapenda sana ilonga msalabaniNi pamoja na Mjini, kwa muhomwa na kichangani pia, Zimetengwa na Uhindini na Mtendeni