na wakati kukatiza mbugani ni nusu saa tu jamani watanzania tusiwe primitive sana hii nchi ina mambuga kibao hii mikumi isitake kutuongezea garama kama mimi ningekua rais ningeacha national park kama kumi tu nyingine ningeruhusu wananchi wapimiwe viwanja na mashamba kuepusha chaos kama inayotokea saizi ngorongoro, handeni Tanga,na kilosa migogoro ya ardhi kila kukicha