Ushauri: BBC, CNN, VOA au Aljazeera, mumuhoji Erick Kabendera juu ya madai yake kuwa Magufuli alimpiga risasi Ben Saanane

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi.

Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa walioompa taarifa wako hai na mambo menginyo.

Lakini naamini itasaidia sana kutoa mwanga wa hili tukio. Hivyo, nashauri vyombo hivi vikubwa na huru vya habari vya kimataifa, vimuhoji na mahojiana hayo yawe live.

Ingekuwa ni katika nchi za wenzetu, hata media za ndani zingeweza kumuhoji. Lakiini katika nchi zetu hizi za bara la giza, unaweza kumuhoji leo, halafu kesho ukaokutwa "unonino" ukiwa umeuawawa au ukiwa hoi taabani na hujitambui.
 
My take on this

Hii habari sidhani kama inapaswa kupewa uzito, ushahidi aliokuja nao kabendera ni hearsay tu, anadai aliambiwa tu, such serious accusations huwezi kuja na na ushahidi Kua Kuna source zininiambia

Magufuli alijua kabisa ana maadui Sana ndani ya system, ndo maana kina kigogo walimsumbua Sana, Kila mipango akipanga ya Siri kina kigogo taarifa wanazo, hushangai kwanini siku hizi tangu aingie Samia kigogo Hana tena za ndani, hivyo magu alijua watu wanaomzunguka Kuna ambao sio loyal kwake

Kwa kujua hivo, tena akiwa rais amchukue Ben saanane ampige risasi point black kweli? Mbona kina kigogo wangejua hio habari mapema Sana

Hata kama magu alitaka kumuua Ben, kulikia na easier ways nyingi tu sio huu ujinga wa kabendera
 
Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi...
Hivyo sio vyombo vya udaku. Wanafuata major issues , international levels
 
My take on this

Hii habari sidhani kama inapaswa kupewa uzito, ushahidi aliokuja nao kabendera ni hearsay tu, anadai aliambiwa tu, such serious accusations huwezi kuja na na ushahidi Kua Kuna source zininiambia

Magufuli alijua kabisa ana maadui Sana ndani ya system, ndo maana kina kigogo walimsumbua Sana, Kila mipango akipanga ya Siri kina kigogo taarifa wanazo, hushangai kwanini siku hizi tangu aingie Samia kigogo Hana tena za ndani, hivyo magu alijua watu wanaomzunguka Kuna ambao sio loyal kwake

Kwa kujua hivo, tena akiwa rais amchukue Ben saanane ampige risasi point black kweli? Mbona kina kigogo wangejua hio habari mapema Sana

Hata kama magu alitaka kumuua Ben, kulikia na easier ways nyingi tu sio huu ujinga wa kabendera
Kigogo jana kasema Ben mara ya Mwisho aliingia ofisini Kwa Katibu mkuu Dr Slaa na alipotoka ndio hakuonekana tena

Ni kama Meddy alivyoingua mara ya Mwisho Kwa Katibu mkuu wa sasa 🐼
 
Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi.

Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa walioompa taarifa wako hai na mambo menginyo.

Lakini naamini itasaidia sana kutoa mwanga wa hili tukio. Hivyo, nashauri vyombo hivi vikubwa na huru vya habari vya kimataifa, vimuhoji na mahojiana hayo yawe live.

Ingekuwa ni katika nchi za wenzetu, hata media za ndani zingeweza kumuhoji. Lakiini katika nchi zetu hizi za bara la giza, unaweza kumuhoji leo, halafu kesho ukaokutwa "unonino" ukiwa umeuawawa au ukiwa hoi taabani na hujitambui.
Unazunguruka. Lissu hayupo?
 
My take on this

Hii habari sidhani kama inapaswa kupewa uzito, ushahidi aliokuja nao kabendera ni hearsay tu, anadai aliambiwa tu, such serious accusations huwezi kuja na na ushahidi Kua Kuna source zininiambia

Magufuli alijua kabisa ana maadui Sana ndani ya system, ndo maana kina kigogo walimsumbua Sana, Kila mipango akipanga ya Siri kina kigogo taarifa wanazo, hushangai kwanini siku hizi tangu aingie Samia kigogo Hana tena za ndani, hivyo magu alijua watu wanaomzunguka Kuna ambao sio loyal kwake

Kwa kujua hivo, tena akiwa rais amchukue Ben saanane ampige risasi point black kweli? Mbona kina kigogo wangejua hio habari mapema Sana

Hata kama magu alitaka kumuua Ben, kulikia na easier ways nyingi tu sio huu ujinga wa kabendera
Hearsay nayo ni Moja ya ushahidi ili mradi source zake Zina uhakika
 
Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi.

Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa walioompa taarifa wako hai na mambo menginyo.

Lakini naamini itasaidia sana kutoa mwanga wa hili tukio. Hivyo, nashauri vyombo hivi vikubwa na huru vya habari vya kimataifa, vimuhoji na mahojiana hayo yawe live.

Ingekuwa ni katika nchi za wenzetu, hata media za ndani zingeweza kumuhoji. Lakiini katika nchi zetu hizi za bara la giza, unaweza kumuhoji leo, halafu kesho ukaokutwa "unonino" ukiwa umeuawawa au ukiwa hoi taabani na hujitambui.
Ushauri kama huu ndio unawafanya chadema wengibbadala ya kwenda kutoa tarifa polisi wanakwenda club house!
 
Huu ndio ushauri wangu kwani naamini kupitia mahojiano ya aina hiyo, Kabendera ataweza kufunguka zaidi na maelezo yake yatasaidia watu kupata picha halisi juu ya tuhuma hizi.

Sitegemei ataweka hadharani kila kitu kwasababu inaweza kusababisha ushahidi ukaharibika /kuharibiwa hasa ikiwa walioompa taarifa wako hai na mambo menginyo.

Lakini naamini itasaidia sana kutoa mwanga wa hili tukio. Hivyo, nashauri vyombo hivi vikubwa na huru vya habari vya kimataifa, vimuhoji na mahojiana hayo yawe live.

Ingekuwa ni katika nchi za wenzetu, hata media za ndani zingeweza kumuhoji. Lakiini katika nchi zetu hizi za bara la giza, unaweza kumuhoji leo, halafu kesho ukaokutwa "unonino" ukiwa umeuawawa au ukiwa hoi taabani na hujitambui.
Kwa mawazo yako hao jamaa wanasoma JF sio?😎
 
Mngeshughulila na ya dikteta wenu Mbowe kwanza hayo ya Kabendera yqtajifia kama yalivyojifia mengine tu
 
Tangazo la biashara hilo
Talk show ya kitabu mtu kaandika huhesabika kama tangazo la biashara hivyo lazima ulipie airtime
Hiyo huwa sera ya vyombo vya habari
 
My take on this

Hii habari sidhani kama inapaswa kupewa uzito, ushahidi aliokuja nao kabendera ni hearsay tu, anadai aliambiwa tu, such serious accusations huwezi kuja na na ushahidi Kua Kuna source zininiambia

Magufuli alijua kabisa ana maadui Sana ndani ya system, ndo maana kina kigogo walimsumbua Sana, Kila mipango akipanga ya Siri kina kigogo taarifa wanazo, hushangai kwanini siku hizi tangu aingie Samia kigogo Hana tena za ndani, hivyo magu alijua watu wanaomzunguka Kuna ambao sio loyal kwake

Kwa kujua hivo, tena akiwa rais amchukue Ben saanane ampige risasi point black kweli? Mbona kina kigogo wangejua hio habari mapema Sana

Hata kama magu alitaka kumuua Ben, kulikia na easier ways nyingi tu sio huu ujinga wa kabendera
Magufuli alikuwa ni kiongozi mwenye jazba na mlevi wa madaraka, huu utetezi wako ni wa kujaribu kuondoa uwezekano kuwa yeye hawezi kufanya hayo jambo ambalo si kweli. Magufuli alikuwa ni mtu muovu, hilo halina ubishi.
 
Mngeshughulila na ya dikteta wenu Mbowe kwanza hayo ya Kabendera yqtajifia kama yalivyojifia mengine tu
Ushahidi anaouweka hadharani Kabendera kwa sasa ni ukweli tuliokuwa tunausema muda wote wa utawala wa dhalimu magu.
 
Back
Top Bottom