icoderz
Senior Member
- Mar 9, 2014
- 135
- 82
Heri ya pasaka wana JF. Na poleni kwa mihangaiko ya maisha!!
Jamani nilikua nataka kuingia kwenye real estate business kwa kutengeneza online platform flani ambayo watu,makampuni au madalali watakua wanapost nyumba, apartments, premises, mashamba etc ili wauze au warentishe. Najua competition ipo na kuna vitu kama hivi tayari vinaexist lakini mimi nataka nifanye kivingine iwe more advanced na kuwe na features zaidi kwa kutumia technology ya juu kabisa. Najua ushindani utakua mkubwa lakini kila business ina ushindani kwa hiyo ni lazima kushindana.
Naombeni ushauri wenu wadau mnaionaje hii kitu na je italipa? naombeni ushauri wenu hasahasa wadau walio kuwa kwenye real-state business. Maana hii mishahara ya kuajiriwa ni ngumu sana kufikisaha malengo ya kimaisha.
Shukrani wadau!!