USHAURI:!! Biashara ya kuuza na kununua nyumba, mashamba etc

icoderz

Senior Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
135
Reaction score
82
Heri ya pasaka wana JF. Na poleni kwa mihangaiko ya maisha!!

Jamani nilikua nataka kuingia kwenye real estate business kwa kutengeneza online platform flani ambayo watu,makampuni au madalali watakua wanapost nyumba, apartments, premises, mashamba etc ili wauze au warentishe. Najua competition ipo na kuna vitu kama hivi tayari vinaexist lakini mimi nataka nifanye kivingine iwe more advanced na kuwe na features zaidi kwa kutumia technology ya juu kabisa. Najua ushindani utakua mkubwa lakini kila business ina ushindani kwa hiyo ni lazima kushindana.

Naombeni ushauri wenu wadau mnaionaje hii kitu na je italipa? naombeni ushauri wenu hasahasa wadau walio kuwa kwenye real-state business. Maana hii mishahara ya kuajiriwa ni ngumu sana kufikisaha malengo ya kimaisha.

Shukrani wadau!!
 
Inawezekana..kikubwa hapa ni mtaji-labda uwe na mtaji wakununua hizo product ....estate...! Mtaji wa kuanzisha hiyo site..nzuri kama ukiwa na ufahamu wa IT...na kulitambua soko lako....yote yanwezekana..
 
Kama ni mtu wa IT na uko vizuri katika web programing itakuwa rahisi sana kutengeneza kitu kama hyo, wapo zoomtanzania wanafanya hiyo kitu ila wewe inatakiwa ufanye improvement kama ufanye intergration na mobile ili mtu apate ujumbe sio mpaka afungue web ni katika simu
 
kuanzisha biashara ni hatua kubwa sana katika maisha yako ambayo inabidi ufikirie kwa makini sio tu naacha kazi mshahara hautoshi naanzisha biashara. Inakuwa inapendeza kama unakuwa passionate kuhusu iyo product au service ambayo unaioffer sokoni. Kufanikiwa kwa biashara yako ni zaidi ya kuwa na product au service nzuri, kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia yanayofanyika ili wewe kuchukua market share. kama kweli unaamini huduma yako itaongeza value Fulani kwa watu waliopo kwenye iyo industry basi ingia ndani ya game.
 
Heri ya pasaka wana JF. Na poleni kwa mihangaiko ya maisha!!

Jamani nilikua nataka kuingia kwenye real estate business kwa kutengeneza online platform flani ambayo watu,makampuni au madalali watakua wanapost nyumba, apartments, premises, mashamba etc ili wauze au warentishe. Najua competition ipo na kuna vitu kama hivi tayari vinaexist lakini mimi nataka nifanye kivingine iwe more advanced na kuwe na features zaidi kwa kutumia technology ya juu kabisa. Najua ushindani utakua mkubwa lakini kila business ina ushindani kwa hiyo ni lazima kushindana.

Naombeni ushauri wenu wadau mnaionaje hii kitu na je italipa? naombeni ushauri wenu hasahasa wadau walio kuwa kwenye real-state business. Maana hii mishahara ya kuajiriwa ni ngumu sana kufikisaha malengo ya kimaisha.

Shukrani wadau!!

ni hivi kuna style tofauti tofauti za kufanya biashara ya real estate, sasa itategemea wewe utatumia style ipi au zote,,
kwanza kunakutumia website ambapo watu watatuma matangazo yao na wataripia km airtime.
pili style hiyo ya web ila watu wataweka matangazo yao ya real estate free ila matangazo mengine yatalipiwa km ilovyo zoomtz na wengine,
tatu ni km utafanya kudeal na local madalalii then unakubaliana nao kwenye mauzo ya bidhaa yao,hii inaitaji uwe na sales team.
nne ni kununua mwenyewe property km mashamba kwa acres na unaconvert into mtsq kisha unayauza hii inahitaji mtaji mkubwa,
kuna njia nying bado za kufanya hizi busness,mimi npo kwenye hii game 2 years now kama utapenda tunaweza kuwa partner, na unawza fanya kz zako za kuajiriwa na biashara ikaenda,
 
Idea yako n nzur mkuu, ni bora ukajaribu kwan hata hao zoom na locopromo walianz kam ww 2 na businss z all abt taking the risk. Cha msing m naon uwe tayari kujitum zaid coz anything succss comes with som efforts. Ni bor "ujarib ukashindw" utajifunza ki2 kuliko kushindwa kujarib kabisa na ukabaki kam ulivyo..
 
Mkuu ahsante kwa mchanganuo nimekusoma vizuri tu, kula tano ya nguvu. Nafikiria kwanza nianze na hiyo style ya kwanza na ya pili then mambo yakiwa fresh ntapiga na hizo style nyingine. Will be nice to work together, niambie wewe unafanya style ipi katika hizo kwenye game hili? I mean wewe ni broker, agent au developer(huna mashamba yako au majumba yako)?
 
Inawezekana..kikubwa hapa ni mtaji-labda uwe na mtaji wakununua hizo product ....estate...! Mtaji wa kuanzisha hiyo site..nzuri kama ukiwa na ufahamu wa IT...na kulitambua soko lako....yote yanwezekana..

Shukrani mkuu kwa ushauri. kuhusu site nataka nikomae niitengeneze mwenyewe chobingo. nafikiri ntaanza na kutengeneza platform tu kwa ajiri ya wauzaji just like zoom mambo yakiwa safi nije kuwa developer wa real estate na kuuza.
 
Idea yako n nzur mkuu, ni bora ukajaribu kwan hata hao zoom na locopromo walianz kam ww 2 na businss z all abt taking the risk. Cha msing m naon uwe tayari kujitum zaid coz anything succss comes with som efforts. Ni bor "ujarib ukashindw" utajifunza ki2 kuliko kushindwa kujarib kabisa na ukabaki kam ulivyo..

Sawasawa mkuu nimekusoma vizuri tu. Ntajitahidi. Kula tano ya nguvu!
 
kuanzisha biashara ni hatua kubwa sana katika maisha yako ambayo inabidi ufikirie kwa makini sio tu naacha kazi mshahara hautoshi naanzisha biashara. Inakuwa inapendeza kama unakuwa passionate kuhusu iyo product au service ambayo unaioffer sokoni. Kufanikiwa kwa biashara yako ni zaidi ya kuwa na product au service nzuri, kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia yanayofanyika ili wewe kuchukua market share. kama kweli unaamini huduma yako itaongeza value Fulani kwa watu waliopo kwenye iyo industry basi ingia ndani ya game.

Sawasawa mkuu nimekusoma vizuri sana yani bonge la ushauri, big up urself bro. Kweli sio vizuri kuacha kazi bila kuwa na uwakika wa hiyo plan B unayotaka kuifanya. Kikubwa ni kuadd value kwenye game. Pamoja sana.
 
Mkuu kwahio Biashara yako sio ya kuuza na kununua bali ni ya kutangazia..., yaani unatengeneza platform ambayo watu watakuwa wanapost biashara zao za nyumba n.k. (wewe huusiki na hizo nyumba wala verification ya kwamba ni matapeli au vipi) - kwahio wewe sio real estate agent per se bali ni mtangazaji na hapo mara nyingi sababu watu watakuwa wanatangaza labda bure unaweza ukapata pesa through traffic kwa kuweka matangazo mengine.., kama utakuwa unachaji fee kwa kila tangazo au baada ya transaction kufanikiwa basi kazi yenyewe itabidi ifanyike offline zaidi ya online kutafuta leads.

Na kama uwezo wa kutafuta leads unao (yaani unajua watu wengi wenye nyumba na mashamba) basi watu kama zoom sio competitors wako, bali wewe utakuwa zaidi ya platform yaani utakuwa dalali mwenye online presence as well as offline presence.., yaani kwa mtu anayeuza nyumba itabidi kuhakikisha kwamba sio tapeli na nyumba yake value yake ni kiasi kadhaa na mtapatana ukishauza / rent atakupa commission kiasi gani.., na wewe baada ya hapo kwa kutumia mtandao wako as well as other offline methods (magazeti, word of mouth as well as offline office (kwa maelezo zaidi) ) utakuwa una-market hivyo vitu vya watu...

Summary
Online peke yake (hapa income huenda ikawa through matangazo mengine) au fee ya mtu anayetangaza (ingawa hawa watakuwa wachache) na itabidi umwambie mnunuzi kwamba Buyer Beware..., yaani matapeli wakimtapeli ni juu yake..

Offline Real Estate Agent.., hapa ndio utakuwa dalali wa kweli kila kinachouzika kinapitia kwako na unakuwa na guarantee kwa mnunuzi na unakula commission mwisho wa siku kutoka kwa mnunuzi na muuzaji na hapa internet /online itakuwa ni kama to medium ya kupata wateja zaidi ila kazi inafanyika sana offline (na hapa hakuna competition hata ukianza leo) cha maana ni kuwa na leads za kutosha as well as good people skills na usiwe tapeli
 
Mkuu big up yourself nimekusoma vizuri sana. Initially kwanza ilikua ni kujenga tu platform kwa ajiri ya watu kupost real estate properties for free na wala mimi sihusiki na transactions. na kama ulivyosema revenue channels ni through adverts. Sababu sina kwenye hili game sina uzoefu nao na wala sijui wauzaji wengi wa nyumba au mashamba, nikaona ni bora kuanza kwa kufocus on kujenga trafffics kwenye website yangu then kama kukiwa na traffic kubwa labda niingie ubie na ma owner offline na kufanya nao biashara. Nafikiri nikitaka nianze na kufanya offline business as well (dalali) itabidi niunde team na kuanza kutafuta wauzaji wa hizo properties.

Namependa sana ushauri wako. vipi upo nini kwenye hii business mkuu?
 
Hapana mkuu sipo kwenye Real Estate am just Jack of All Trades but Master of Non.., na huwa napenda kujua kila biashara inafanyaje kazi na opportunity ipo vipi na faida ikoje ili nione kama naweza kuingia au nina uwezo wa kuifanya..

Yes kwa kutengeneza website ili upate traffic, yes you can do it na wala initial cost sio nyingi kabisa ni pesa ndogo sana na website hosting ni cheap sana.., ugumu ni ku-market na ku-promote site yako ambayo it takes time.., na hakikisha website yako inakuwa sticky.., mtu akija aweze kuja tena na tena (kwahio post vitu mara kwa mara na viwe updated) pia toa information tofauti tofauti kuhusu real estate n.k. ili watu wapende kuja na wale wanaotumia search engines kama kuna information zenye keywords kuhusu mambo ya nyumba basi hao watu wataletwa kwako.

Kuhusu mtandao wa watu wanaouza properties zao, unaweza kuwapata sababu hao hao utakaowatafuta ili watangaze kwako ndio hao hao ambao ungeweza kuingia nao deals ili uwauzie.., ni rahisi kama ukiwa na ofisi na ukaanza kwa kupatana na madalali waaminifu offline ili ufanye nao kazi.., kwa kuanzia hata ukiwa na nyumba tano tu zenye bei nzuri ambazo hazina utapeli.., baada ya hapo watu wakishajua sehemu ulipo watakufata..

Kumbuka hii biashara imegubikwa na utapeli na watu kutokuwa waaminifu, sasa wewe ukiwapa watu peace of mind na ukawa unawasaidia hata kwenye mikataba na wewe kuwa shahidi na mediator baina yao na ukiwa officially watu wote watakuja kwako hata kama ni gharama sababu watakuwa wanajua wanachokipata ni cha ukweli.., na wala wewe huitaji kuwa ofisini unaweza ukamweka mdada mmoja tu pale kazi yake ni kupokea simu na kucheza karata wakati anasubiri wateja, wateja wakija anakuita unawapa appointment alafu hapo ndio unatuma mtu wako mwenye busara kwenda ku-close the deal.., ofisini kwako kunakuwa na matangazo ya hizo nyumba / mashamba plus full details
 
Mhimu uweke office attendant, mtu atakayekuwa online during working hours, weka na option ya kuchat, tengeneza mazingira watu wakuamini yaani kununua products kupitia kwako ni safe zaidi kuliko otherwise. Weka na descriptions za legal au security kwa ajili ya customers. Utatuvuta wengi mbona!!
 
Ushaurihuu ufanyie kazi...elewa migogoro yote matatizo yote ya hii kazi na zipatie solutions za maana.
 
Mkuu sawasawa nimekupata sana na ushauri wako upo bomba kweli. Nina idea mbalimbali on how to attract customers kwenye website tayari. Hapo kwenye utapeli sasa ndio nnapo paogopa maana nimesikia sana watu wanaibiwa kwenye hii business. so I have think deep why ppl should trust my service. Lakini vile vile nilikua nafikiria customer persona wawe wa nje pia kama ma investors, contractors wanaotaka kuja bongo kuishi, kwa hiyo nataka nitengeneze kitu first class kabisa.

Umegusia swala zima la kuinclude real-state education/forum hii aisee ni bonge la idea mkuu. Nafikiri kama ulivyosema marketing ni kitu cha muhimu sana itabidi nifikirie strategies nzuri za kui adverts. Je unajua njia mojawapo ya jinsi ya watu wanavyopigwa kwenye hii industry?

Mkuu shukrani sana kwa kunipa muongozo, kula tano ya nguvu kwa mara nyingine.
 
Mhimu uweke office attendant, mtu atakayekuwa online during working hours, weka na option ya kuchat, tengeneza mazingira watu wakuamini yaani kununua products kupitia kwako ni safe zaidi kuliko otherwise. Weka na descriptions za legal au security kwa ajili ya customers. Utatuvuta wengi mbona!!

Mkuu nimekupata vizuri sana embu kula tano ya nguvu kwanza paap. Option ya kuchat na live customer service hii bonge la idea mkuu. Mkuu ushauri wako tayari upo kwenye to-do-list. Vipi ume kwenye hii game nini kaka?
 
Zoom na Locopromo washashika.

Mbona kesha chelewa sanaa...Mitandao ya simu kama airtel wanafanya hyo kitu tayari (e-business) sina uhakika na mitandao mingine. Tena wao wana millions of followers so customer base yao ni kubwa na inakua rahisi wao kufanya biashara. Kwa ushauri wangu atafute niche nyingine orelse atapoteza lots of energy, resourses and time cz atahitaji kufanya some serious marketing and driving large sums of traffic (SEO issues) kwenye site yake which itam cost pesa nyingi + hyo site ni lazima iwe credible. Kuna usemi mmoja hata kwenye bible wame andika " Servive to many leads to greatness " So airtel wana apply effectively that concept. Otherwise namtakia kila la kheri. #MtazamoTu
 
Back
Top Bottom