lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Unas
unasugua VP mkuu umeishia hewanNafanya hivyo biashara mimi, mpunga umeshuka saiv na hyo bei ndo bei yake kwa sasa
Saivi wanauza hvyo kwa sabab muda si mrefu sana mpunga mpya utaingia mzgoni na hiyo ni kawaida
Kwa faida ya 350/kg Ni kubwa sana, Mara nyingi faida ikizid huwa ni 250/kg
Ukitaka kujua mchele Kama zuri au mbaya, unachukua kidgo mkononi then unausugua au unaweka chin kwenye mfuko unasugua na kisigino, hvyo ndo huwa tunafanya
Mwisho biashara ya mchele ina faida kubwa Sana Kama ikikukubali