Ushauri: Biashara Ya Oil Lubricants (Oil Za PikiPiki)

Ushauri: Biashara Ya Oil Lubricants (Oil Za PikiPiki)

Gien Banks

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
336
Reaction score
887
Wasalaam wakuu,
Easter Ndio hyo Inaisha. Back to the Basics.

To The Point

Ebana nina mtaji wangu flan nimekua nikidunduliza hela za change kwenye bata [emoji16]Lol zimefika kama Tsh 5M+ hivi.....

Nikawaza sana for a while biashara ya kufanya on the side as an extra income source. Kutokana na wingi wa bodaboda mtaani nimewaza nifanye biashara ya Oil za Piki Piki / Bajaj [ JUMLA NA REJA REJA ] baadae mambo yakiwa mazuri nitaingia kwenye spare au oil za magari.

Kwa unyenyekevu mkubwa sana naombeni ushauri wenu wa dhati kabisa kwenye yafuatayo:

1. Changamoto / Faida za Hii Biashara
2. Suppliers wa Oil Hizi (Kesho Nianze Wacheck)
3. Maeneo Mazuri Ya Biashara Hii (Market)
4. Estimated Profits & Expenses
5. Ushindani Umekaaje ??
6. Ni Lazima Kuifanyia Center Ya Mji i.e. Kariakoo kupata faida nzuri ??

Ahsanteni Sanaa. [emoji1488]
 
Raia wanapita kimya kimya sio poa kabisa.
Hata nami sielewi kwanini, nimestay nasubiri wajuzi wa haya mambo waje, mi huwa nafanya hii biashara ya oil za pikipiki ingawa kwa kiasi kidogo sana kama katoni au nusu katoni ila nipo kwenye mchakato kama wako hivyo tungepata wajuzi wale wanaotoa oil kiwandani ingekuwa poa zaidi hasa kiwanda cha oryx
 
Wasalaam wakuu,
Easter Ndio hyo Inaisha. Back to the Basics.

To The Point

Ebana nina mtaji wangu flan nimekua nikidunduliza hela za change kwenye bata [emoji16]Lol zimefika kama Tsh 5M+ hivi.....

Nikawaza sana for a while biashara ya kufanya on the side as an extra income source. Kutokana na wingi wa bodaboda mtaani nimewaza nifanye biashara ya Oil za Piki Piki / Bajaj [ JUMLA NA REJA REJA ] baadae mambo yakiwa mazuri nitaingia kwenye spare au oil za magari.

Kwa unyenyekevu mkubwa sana naombeni ushauri wenu wa dhati kabisa kwenye yafuatayo:

1. Changamoto / Faida za Hii Biashara
2. Suppliers wa Oil Hizi (Kesho Nianze Wacheck)
3. Maeneo Mazuri Ya Biashara Hii (Market)
4. Estimated Profits & Expenses
5. Ushindani Umekaaje ??
6. Ni Lazima Kuifanyia Center Ya Mji i.e. Kariakoo kupata faida nzuri ??

Ahsanteni Sanaa. [emoji1488]
Habari mkuu mi nimeshuhudia katika kituo Fulani cha mafuta ninachofanyia kazi tunauza oil za magari,faida ni nzuri pia unachohitaji ni eneo zuri lenye movement mfano maeneo ya garage na mtu mwaminifu wa kusimamia.
Kwa upande wa supplier unaweza kuwatumia brands kubwa kama PUMA, TOTAL au jamaa fulani wqnajiita WAMBI OIL DISTRIBUTORS anything else PM for more info
 
Mkuu biashara zipo nyingi sana tena unaanza na mtaji mdg na faida yake nusu ya mtaji,,,
 
Karibu :- Lake Oil..Lake lubricant na Lake gas..vyote vipo!! Hutoangushwa..
 
Back
Top Bottom