Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 336
- 887
Wasalaam wakuu,
Easter Ndio hyo Inaisha. Back to the Basics.
To The Point
Ebana nina mtaji wangu flan nimekua nikidunduliza hela za change kwenye bata [emoji16]Lol zimefika kama Tsh 5M+ hivi.....
Nikawaza sana for a while biashara ya kufanya on the side as an extra income source. Kutokana na wingi wa bodaboda mtaani nimewaza nifanye biashara ya Oil za Piki Piki / Bajaj [ JUMLA NA REJA REJA ] baadae mambo yakiwa mazuri nitaingia kwenye spare au oil za magari.
Kwa unyenyekevu mkubwa sana naombeni ushauri wenu wa dhati kabisa kwenye yafuatayo:
1. Changamoto / Faida za Hii Biashara
2. Suppliers wa Oil Hizi (Kesho Nianze Wacheck)
3. Maeneo Mazuri Ya Biashara Hii (Market)
4. Estimated Profits & Expenses
5. Ushindani Umekaaje ??
6. Ni Lazima Kuifanyia Center Ya Mji i.e. Kariakoo kupata faida nzuri ??
Ahsanteni Sanaa. [emoji1488]