Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 796
- 918
Nimekuelewa mkuu. Kuna hisia zinanijia kuwa inawezekana ukasukwa mpango wa kumkata, sasa kama mpango huo upo ndo nimeandika ili uachwe kama itawezekana. otherwise nimeelewa mchango wakoMpina amekosea kusema kwamba anataka pesa zilizoelekezwa kwingine zipelekwe Kisesa.
Otherwise hakuna tatizo. Mpina atachukua fomu,kama Kamati Kuu ya CCM ikilikataa jina lake,huo ndio itakuwa wakati wa wewe kuandika hii posting.
Kwa sababu hapo itamaanisha kwamba Mpina atataka kupumzika au kujiunga na Chauma. Au kujiunga na CUF au Chadema au ACT Wazalendo.
Sijui kwa nini wale watu wanajiita wazalendo. Kila mtu ni mzalendo
CCM na Mpina sio sawa na CHADEMA na LissuUchaguzi wa jimbo hilo tutakaa hapo mpaka tuone Mpina na CCM nani zaidi
Kwa watu wa jinsi yako hii ndiyo sababu Mh. Rais anazidi kupunguza kura zakeNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
kwenye mada.....
Hivi karibuni kumeibuka mjadala mkali juu ya kilichotokea jimboni kisesa ilipokuwapo ziara ya Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi.
Watu wengi, pengine ni uelewa mdogo, wanauliza kwanini Mhe, Raisi alimjibu vile Mpina. Naomba nitumie jukwaa hili kuandika kwa wino mwingi kwamba alichokipata mpina ni stahiki yake na Raisi hajakosea lolote.
Kwanza amefanya unafki wa kisiasa.
hata mimi nilishangaa mpina alivyopongeza treni letu la nishati ya umeme. Nikajiuliza alikuwa wapi siku zote? ingawaje sio kosa kulisema hilo kwa jana lakini, politicaly inadelay au kuzorotesha popularity ya chama.
Mwenyekiti kamjibu vyema tu, afuate taratibu husika aache kuvunja kanuni na taratibu anazozipigania kila siku.
Mpina ni kama mtoto mdogo, haridhiki na nyumbani, ana kazi ya kulinganisha makochi ya nyumbani kwao na kwa jirani.
Wananchi wa kisesa wanashangilia changamoto lakini pia haohao hawajashangilia mafanikio yalipotajwa na Mpina.
Maana yake ni kwamba watu wa jimbo la Mpina wanapenda kuona spana zikitembea badala ya chochote.
Haya yote yanasababishwa na Mpina mwenyewe kashindwa kumjengea mazingira mazuri ya kisiasa mwenyekiti wake jimboni halafu anajidai kumnadi kwa ajili ya mwezi oktoba.huu ni unafki wa hali ya juu.
Ili chama kishinde uchaguzi bas kinahitaji cooordination na forged unit, Mpina hatambui hili badala yake anamuonea wivu Lissu anavyopashana na Mwenyekiti ama Raisi kimantiki majukwaani, so akiona changamoto kama za sukari basi anachangamkia fursa za kina Lema na Heche ili naye aonekane anaweza kuparurana.
Anaingia kwenye mtego wa Chadema kuwataka wana CCM kukikosoa chama chao kichwakichwa ili kikose ushindi akidhani ataitwa shujaa kumbe anaua juhudi za chama.
Kama Mpina anatamani kuzungumza madhaifu ya chama chetu majukwaani basi, jukwaa stahiki halipo ndani ya CCM.
MY TAKE !.
Mpina ni mtoto wetu ametunyea mkononi.
Ameonesha kuwa na ushawishi mkubwa jimboni kwake, hii maana yake ni kwamba Mpina anatufaa kwa kukamatia kura mwezi oktoba.
Tukifanya kosa la kumkimbiza inawezekana kabisa tukapata wakati mgumu kwa sababu hatuna uhakika na atakaekuja ukizingatia mwaka huu kutakuwa na ushindani mkubwa sana. Tukiweka mtu dhaifu tukamtupa Mpina inawezekana kabisa upinzani wakasimamisha kichwa cha jini ukanda ule, matokeo yake tutapoteza kura za mbunge na za Rais.
Lakini akigombea Mpina mwenyewe, tutapata kura za mbunge. Haiwezekani Mbunge ashinde kwa kishindo halafu Rais akose kura katika jimbo hilohilo. Waacheni wananchi wapige kura kwa Mpina kwani Mpina akipita Ndo Samia atapitia humohumo.
Mwisho, wazee wa busara wamwambie Mpina aombe radhi kwa chama chetu mbele ya waandishi wa habari, awaambie watanzania kuwa hakuwa na nia mbaya katika harakati zake za kuishauri serikali, hivyo taswira iliyojengeka juu yake kukidhoofisha chama ni taswira ambayo hakuitegemea.
Pia ufanyike mkakati Mpina apelekwe kupata chakula cha jioni na Mhe, Raisi ili kuondoa tofauti zitakazotuletea joto ndani ya chama kuelekea uchaguzi hapo Oktoba.
Yusufu R H Sabura
rajarajabu99@gmail.com
Luhaga (Kinga) Joelson (Yahu ni mungu") Mpina (Mkiwa)Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

hii maoni ni kali sana.Luhaga (Kinga) Joelson (Yahu ni mungu") Mpina (Mkiwa)
Oct 2025
L-12
J-10
M-13
35=3+5+(2+0+2+5)
8+9=1+7
8
Kuzaliwa-05/05/1975=5+5+1+9+7+5=3+2=5
Namba ya Jina ni 8
Namba ya mwaka wa Kuzaliwa ni 5
Namba ya Mwaka ni 9
8+5+9=2+2=4
Nyota=Ng’ombe (Taurus)
Moto: Yenye matamanio yamafanikio au makuu,dadisi (Kondoo, Simba,Mshale)
Maji: Yenye kubadilika na yenyeuwezo wa ufahamu wa ndani (Ng’e, Samaki, Kaa)
Hewa: Imara na yenye kukuza akuendeleza (Mapacha, Mizani, Ndoo)
Udongo: Yenye elimu au uwezowa kutambua na yenyekuhamasisha (Ng’ombe,Mashuke,Mbuzi)
Nguvu ya namba Kiongozi (Udongo)
Wanachochewa na uthabiti, vitendo, na upendo wa maisha halisi. Wana tabia za kuwa waaminifu, wenye maono ya muda mrefu, na mara nyingi hupenda mazingira ya amani na uhakika.
Chanya-
Tabia za Watu wa Nyota ya Ng’ombe
Hasi-Udhaifu na changamoto
- Wenye Subira: Ng’ombe huchukua muda wao kufanya maamuzi na kusimamia kazi kwa bidii.
- Wapenda Utulivu: Wanapenda mazingira tulivu na ya kupendeza.
- Wenye Uvumilivu: Wanavumilia changamoto na hufanikisha malengo yao kwa hatua.
- Wapenda Anasa: Ng’ombe hufurahia starehe na uzuri wa maisha.
- Waaminifu: Ni watu wanaoweza kutegemewa na wanaojali uhusiano wa muda mrefu.
Watu wa Mazoea: Ng’ombe mara nyingi hupenda kufanya mambo kwa utaratibu ule ule na wanaweza kupinga mabadiliko.
Wasiopenda Hatari: Wanapendelea usalama na hawako tayari kuchukua hatari kubwa.Wakati Mwingine
Wenye Msimamo Mkali: Wanapochukua msimamo, ni vigumu kuwashawishi kubadilika.
Kupenda Kiasi: Wakati mwingine wanaweza kupendelea anasa kupita kiasi.
Kupatana zaidi na nyota yenye asili ya Maji yaani Mashuke, kaa na samaki
Acha uchonganishiMwenye chama tayali hamtaki nani wa kupinga tena
Ni maoni tu.Kwa watu wa jinsi yako hii ndiyo sababu Mh. Rais anazidi kupunguza kura zake
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
kwenye mada.....
Hivi karibuni kumeibuka mjadala mkali juu ya kilichotokea jimboni kisesa ilipokuwapo ziara ya Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi.
Watu wengi, pengine ni uelewa mdogo, wanauliza kwanini Mhe, Raisi alimjibu vile Mpina. Naomba nitumie jukwaa hili kuandika kwa wino mwingi kwamba alichokipata mpina ni stahiki yake na Raisi hajakosea lolote.
Kwanza amefanya unafki wa kisiasa.
hata mimi nilishangaa mpina alivyopongeza treni letu la nishati ya umeme. Nikajiuliza alikuwa wapi siku zote? ingawaje sio kosa kulisema hilo kwa jana lakini, politicaly inadelay au kuzorotesha popularity ya chama.
Mwenyekiti kamjibu vyema tu, afuate taratibu husika aache kuvunja kanuni na taratibu anazozipigania kila siku.
Mpina ni kama mtoto mdogo, haridhiki na nyumbani, ana kazi ya kulinganisha makochi ya nyumbani kwao na kwa jirani.
Wananchi wa kisesa wanashangilia changamoto lakini pia haohao hawajashangilia mafanikio yalipotajwa na Mpina.
Maana yake ni kwamba watu wa jimbo la Mpina wanapenda kuona spana zikitembea badala ya chochote.
Haya yote yanasababishwa na Mpina mwenyewe kashindwa kumjengea mazingira mazuri ya kisiasa mwenyekiti wake jimboni halafu anajidai kumnadi kwa ajili ya mwezi oktoba.huu ni unafki wa hali ya juu.
Ili chama kishinde uchaguzi bas kinahitaji cooordination na forged unit, Mpina hatambui hili badala yake anamuonea wivu Lissu anavyopashana na Mwenyekiti ama Raisi kimantiki majukwaani, so akiona changamoto kama za sukari basi anachangamkia fursa za kina Lema na Heche ili naye aonekane anaweza kuparurana.
Anaingia kwenye mtego wa Chadema kuwataka wana CCM kukikosoa chama chao kichwakichwa ili kikose ushindi akidhani ataitwa shujaa kumbe anaua juhudi za chama.
Kama Mpina anatamani kuzungumza madhaifu ya chama chetu majukwaani basi, jukwaa stahiki halipo ndani ya CCM.
MY TAKE !.
Mpina ni mtoto wetu ametunyea mkononi.
Ameonesha kuwa na ushawishi mkubwa jimboni kwake, hii maana yake ni kwamba Mpina anatufaa kwa kukamatia kura mwezi oktoba.
Tukifanya kosa la kumkimbiza inawezekana kabisa tukapata wakati mgumu kwa sababu hatuna uhakika na atakaekuja ukizingatia mwaka huu kutakuwa na ushindani mkubwa sana. Tukiweka mtu dhaifu tukamtupa Mpina inawezekana kabisa upinzani wakasimamisha kichwa cha jini ukanda ule, matokeo yake tutapoteza kura za mbunge na za Rais.
Lakini akigombea Mpina mwenyewe, tutapata kura za mbunge. Haiwezekani Mbunge ashinde kwa kishindo halafu Rais akose kura katika jimbo hilohilo. Waacheni wananchi wapige kura kwa Mpina kwani Mpina akipita Ndo Samia atapitia humohumo.
Mwisho, wazee wa busara wamwambie Mpina aombe radhi kwa chama chetu mbele ya waandishi wa habari, awaambie watanzania kuwa hakuwa na nia mbaya katika harakati zake za kuishauri serikali, hivyo taswira iliyojengeka juu yake kukidhoofisha chama ni taswira ambayo hakuitegemea.
Pia ufanyike mkakati Mpina apelekwe kupata chakula cha jioni na Mhe, Raisi ili kuondoa tofauti zitakazotuletea joto ndani ya chama kuelekea uchaguzi hapo Oktoba.
Yusufu R H Sabura
rajarajabu99@gmail.com
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu kauli ya Mhe. George Mpina aliyoitoa wakati wa ziara ya Mheshimiwa Rais katika Wilaya ya Meatu. Ni muhimu tuelewe kuwa si kila hoja inayotolewa na kiongozi lazima ichukuliwe kama mashambulizi au kejeli. Wakati mwingine, hoja nzito huwasilishwa kwa lengo la kujenga, kukosoa kwa staha, na kusahihisha pale panapostahili.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.