Ushauri bora zaidi kwa vijana wanaomaliza Kidato cha Nne na Sita

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya mustakabali wa mtoto. Mzazi hajui mtoto atakuwa nani na mpoto anaota ndoto kubwa ambazo mimi naziita dead dreams. Hazina uhalisia.

Ushauri wenyewe ndio huu;

1. Kwa wanaomaliza kidato cha sita kwenye form ya machagua first choice iwe technical college. Hapa mtoto ajitahidi angalau hesabu na physics na inawezekana. Atachaguliwa huko atamaliza diploma kwa miaka 3, au aende COTC akasomee uafisa tabibu au akasomee nursing officer. Hapa timing ndio mpango mzima wala hazihitajiki akili nyingi. Huyu kijana hatapata taabu ya maisha.

2.Kwa wanaomaliza kidato cha sita. Hapa unalia timing masomo ya sayansi hata kwa kufosi, angalau ufaulu kwa division 3 point 14 inatosha. Ukienda JKT mujibu wa Sheria wakisema wanaotaka jeshi, usiwaulize home wewe ingia. Utakuja kunishukuru.
Siku hizi jeshini Maafisa wengi ni wa kidato cha sita.

Wengi wanaanza kutafuta nafasi za jeshi wakati ambao si sahihi kwao hivyo huishia kupata kwa usumbufu au kutapeliwa kabisa.
Wengine hutafuta vyuo vya clinical officer huku wameshachelewa, huishia kupata vyuo vya gharama kubwa na wengine wakakosa ada.

Fanya kitu sahihi kwa wakati sahihi.
 
Habar jamni,mm ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha 6 mwaka huu na nimepata division 4 ya 18 ..naombeni mnisaidie kama naweza kupata course yoyote kwa division hii tafadhali
 
Ungeenda college ulipomaliza kidato cha nne mwakani ungehitimu diploma yako safi.
Ok, taja combination yako na ufaulu wako wa form four na six tukushauri.
 
Habari!

Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya mustakabali wa mtoto. Mzazi hajui mtoto atakuwa nani na mpoto anaota ndoto kubwa ambazo mimi naziita dead dreams. Hazina uhalisia.

Ushauri wenyewe ndio huu;

1. Kwa wanaomaliza kidato cha sita kwenye form ya machagua first choice iwe technical college. Hapa mtoto ajitahidi angalau hesabu na physics na inawezekana. Atachaguliwa huko atamaliza diploma kwa miaka 3, au aende COTC akasomee uafisa tabibu au akasomee nursing officer. Hapa timing ndio mpango mzima wala hazihitajiki akili nyingi. Huyu kijana hatapata taabu ya maisha.

2.Kwa wanaomaliza kidato cha sita. Hapa unalia timing masomo ya sayansi hata kwa kufosi, angalau ufaulu kwa division 3 point 14 inatosha. Ukienda JKT mujibu wa Sheria wakisema wanaotaka jeshi, usiwaulize home wewe ingia. Utakuja kunishukuru.
Siku hizi jeshini Maafisa wengi ni wa kidato cha sita.

Wengi wanaanza kutafuta nafasi za jeshi wakati ambao si sahihi kwao hivyo huishia kupata kwa usumbufu au kutapeliwa kabisa.
Wengine hutafuta vyuo vya clinical officer huku wameshachelewa, huishia kupata vyuo vya gharama kubwa na wengine wakakosa ada.

Fanya kitu sahihi kwa wakati sahihi.
Kwani huko jeshi hawachukui division four?
 
Back
Top Bottom