Ushauri bora zaidi kwa vijana wanaomaliza Kidato cha Nne na Sita

Ushauri bora zaidi kwa vijana wanaomaliza Kidato cha Nne na Sita

Ungeenda college ulipomaliza kidato cha nne mwakani ungehitimu diploma yako safi.
Ok, taja combination yako na ufaulu wako wa form four na six tukushauri.
Form 4 nilipata 3 ya 25 na form 6 hii div 4 ya 18 kombi HKL
 
Ndugu zangu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana nimepata division 3 ya point 22 nitaka kufahamu nikasomee kozi gani kulingana na ufaulu wangu nimepata biology D, kiswahili C, English C, history C, civics C, chemistry D, geography D physics Na math F Na literature D je nafaa kusomea kozi Gani kulingana na ufaulu wangu
 
Back
Top Bottom