Ndugu zangu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana nimepata division 3 ya point 22 nitaka kufahamu nikasomee kozi gani kulingana na ufaulu wangu nimepata biology D, kiswahili C, English C, history C, civics C, chemistry D, geography D physics Na math F Na literature D je nafaa kusomea kozi Gani kulingana na ufaulu wangu