USHAURI: Busara itumike kumsaidia kiafya msemaji wa Simba(Haji Manara).

USHAURI: Busara itumike kumsaidia kiafya msemaji wa Simba(Haji Manara).

Huyo ni mropokaji na sio msemaji...

Sijui kwanini kazi hizi za wasemaji zinapewa watu wasio na staha, kunena ovyo, wasio na elim nk...

Embu wajifunze kwa clubs kubwa duniani wasemaji wanavyokuwa smart sana.

Kwanza kwa wenzetu wasemaji wa Timu ni Makocha sio kama huku kwetu kwa Waganga njaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mie ni Simba ila sipendi kuwa na waropokaji kama Manara. Mpira ni kitu cha staha unatakiwa umheshimu mpinzani wako na sio kuwa disrespectful.

Kwani hawaoni ulaya hakuna tambo za kipumbavu kama hapa kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom