Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Ni mwaka jana tu mechi dhidi ya Kagera SugarHiyo video ni ya muda kidogo sio ya mchezo wa leo Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwaka jana tu mechi dhidi ya Kagera SugarHiyo video ni ya muda kidogo sio ya mchezo wa leo Mkuu.
Kweli kabisa mie ni Simba ila sipendi kuwa na waropokaji kama Manara. Mpira ni kitu cha staha unatakiwa umheshimu mpinzani wako na sio kuwa disrespectful.Huyo ni mropokaji na sio msemaji...
Sijui kwanini kazi hizi za wasemaji zinapewa watu wasio na staha, kunena ovyo, wasio na elim nk...
Embu wajifunze kwa clubs kubwa duniani wasemaji wanavyokuwa smart sana.
Kwanza kwa wenzetu wasemaji wa Timu ni Makocha sio kama huku kwetu kwa Waganga njaa...
Sent using Jamii Forums mobile app