Ushauri: CAF waangalie upya sifa za timu kushiriki kombe la shirikisho

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Kuna hii timu kutoka South Afrika inaitwa Marumo Garants wao wanashika nafasi ya mwisho 16 kati ya timu 16 wana points 20 katika michezo 23 Wameshinda michezo mitatu sare 11 vichapo 9.

Cha ajabu wao ndiyo wanaongoza group A kombe la CAFCC wana points 12 huku USM Alger wakiwa nafasi ya pili na points 11.

THIS IS THE REAL MEANING OF LOSERS TOURNAMENT

Sasa wakati hiyo Marumo Galants inafuzu kucheza hayo mashinfano, si ilikuwa ina sifa zinazotakiwa! Maana yake ilikuwa katika zile timu nne bora za juu katika ligi yao.

Yaani ni sawa na kusema Chelsea nayo iangaliwe na UEFA, maana kwenye ligi ya Uingereza kwa sasa iko nafasi ya 11, huku ikitakiwa pia kucheza na Real Madrid kwenye Robo fainali ya Klabu Bingwa Ulaya! Na msimu uliopita, ilishika nafasi ya 4 kwenye ligi ya EPL!

Hivyo naomba nihitimishe kwa kusema kwamba hoja yako haina mashiko. Na uniwie radhi, kama hutaridhishwa na haya maoni yangu.
 
ndio maana nasemaga humu, watanzania wenye akili ni wachache sana,
 
Huyo ni mwana🦁 akiwaonea wivu watani zake kwa mafanikio yao makubwa mpotezeeni🏃
 
Sasa wakati hiyo Marumo Galants inafuzu kucheza hayo mashinfano, si ilikuwa ina sifa zinazotakiwa! Maana yake ilikuwa katika zile timu nne bora za juu katika ligi yao.

Hoja ya mleta mada iko hapo hapo, kwamba kwa sasa timu iliyoongoza kundi inaburuza mkia South Africa. Similarly, anajaribu kuleta picha kuwa kuongoza kundi la shirikisho hakutoi picha halisi ya umahiri wa timu
 
Thread closed...
 
Unajua raja Casablanca inashika nafasi ya ngapi??
Hao malumo wameamua kuweka nguvu huko shirikisho
Na kipindi wanaingia kwenye haya mashindano si wao ndiyo walistahili kiufupi ushauri wako kamshauri mo dewj asajili wachezaji wa viwango.
 
Jibu zuri sana
 
Bonge la goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…