Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kama hatoridhika na maoni yako bora auwawe tuSasa wakati hiyo Marumo Galants inafuzu kucheza hayo mashinfano, si ilikuwa ina sifa zinazotakiwa! Maana yake ilikuwa katika zile timu nne bora za juu katika ligi yao.
Yaani ni sawa na kusema Chelsea nayo iangaliwe na UEFA, maana kwenye ligi ya Uingereza kwa sasa iko nafasi ya 11, huku ikitakiwa pia kucheza na Real Madrid kwenye Robo fainali ya Klabu Bingwa Ulaya! Na msimu uliopita, ilishika nafasi ya 4 kwenye ligi ya EPL!
Hivyo naomba nihitimishe kwa kusema kwamba hoja yako haina mashiko. Na uniwie radhi, kama hutaridhishwa na haya maoni yangu.