Ushauri: CAF waangalie upya sifa za timu kushiriki kombe la shirikisho

Sasa wakati hiyo Marumo Galants inafuzu kucheza hayo mashinfano, si ilikuwa ina sifa zinazotakiwa! Maana yake ilikuwa katika zile timu nne bora za juu katika ligi yao.

Yaani ni sawa na kusema Chelsea nayo iangaliwe na UEFA, maana kwenye ligi ya Uingereza kwa sasa iko nafasi ya 11, huku ikitakiwa pia kucheza na Real Madrid kwenye Robo fainali ya Klabu Bingwa Ulaya! Na msimu uliopita, ilishika nafasi ya 4 kwenye ligi ya EPL!

Hivyo naomba nihitimishe kwa kusema kwamba hoja yako haina mashiko. Na uniwie radhi, kama hutaridhishwa na haya maoni yangu.
Kama hatoridhika na maoni yako bora auwawe tu
 
Hoja ya mleta mada iko hapo hapo, kwamba kwa sasa timu iliyoongoza kundi inaburuza mkia South Africa. Similarly, anajaribu kuleta picha kuwa kuongoza kundi la shirikisho hakutoi picha halisi ya umahiri wa timu
Naona unajitahidi kurekebisha alichokiandika ndugu yako, ili msionekane namna mlivyo mbumbumbu!
 
Hoja ya mleta mada iko hapo hapo, kwamba kwa sasa timu iliyoongoza kundi inaburuza mkia South Africa. Similarly, anajaribu kuleta picha kuwa kuongoza kundi la shirikisho hakutoi picha halisi ya umahiri wa timu
Ni sawa na hao Raja waliowapiga ndani nje na kwenye ligi wapo nafasi ya 5 huko na wakati huo anayeongoza ligi yupo CAFCC.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kuna hii timu kutoka South Afrika inaitwa Marumo Garants wao wanashika nafasi ya mwisho 16 kati ya timu 16 wana points 20 katika michezo 23 Wameshinda michezo mitatu sare 11 vichapo 9.

Cha ajabu wao ndiyo wanaongoza group A kombe la CAFCC wana points 12 huku USM Alger wakiwa nafasi ya pili na points 11.

THIS IS THE REAL MEANING OF LOSERS TOURNAMENT

Umekurupuka sana. Hii timu ya Kabylie umeiona? Imefuzu robo fainali champion league
IMG_20230404_174041.jpg
 
Ila kiukweli Confederation cup timu zilizoongoza makundi ukitoa Utopolo ni dhaifu ukilinganisha na zile zilizoshika nafasi za pili!
 
Hoja ya mleta mada iko hapo hapo, kwamba kwa sasa timu iliyoongoza kundi inaburuza mkia South Africa. Similarly, anajaribu kuleta picha kuwa kuongoza kundi la shirikisho hakutoi picha halisi ya umahiri wa timu
Kwa maana hiyo hata watani wako kuongoza ndani na nje hakuleti taswira halisi ya timu sio😂
 
Hoja ya mleta mada iko hapo hapo, kwamba kwa sasa timu iliyoongoza kundi inaburuza mkia South Africa. Similarly, anajaribu kuleta picha kuwa kuongoza kundi la shirikisho hakutoi picha halisi ya umahiri wa timu
Ahsante mkuu,kuwaelimimisha hawa jamaa inabidi uwe na Mo extra pembeni
 
Kuna hii timu kutoka South Afrika inaitwa Marumo Garants wao wanashika nafasi ya mwisho 16 kati ya timu 16 wana points 20 katika michezo 23 Wameshinda michezo mitatu sare 11 vichapo 9.

Cha ajabu wao ndiyo wanaongoza group A kombe la CAFCC wana points 12 huku USM Alger wakiwa nafasi ya pili na points 11.

THIS IS THE REAL MEANING OF LOSERS TOURNAMENT

kuna msimu Leeds Utd aliingia nusu fainali ya Uefa Champions League huku akiwa ameshuka daraja katika Premier League
 
Kuna hii timu kutoka South Afrika inaitwa Marumo Garants wao wanashika nafasi ya mwisho 16 kati ya timu 16 wana points 20 katika michezo 23 Wameshinda michezo mitatu sare 11 vichapo 9.

Cha ajabu wao ndiyo wanaongoza group A kombe la CAFCC wana points 12 huku USM Alger wakiwa nafasi ya pili na points 11.

THIS IS THE REAL MEANING OF LOSERS TOURNAMENT

Ww ni mjinga sana [emoji706],haishangazi kuona nchi hii ipo hapa ilipo maana watu wenyewe wengi ni kama ww.

Hiyo team msimu uliopita ilikua top four na ndiomana ikafuzu ktk mashindano ya CAF sasa hapo hoja yako ni ipi?

Kipindi Chelsea wanachukua UEFA msimu ule walikua na msimu mbovu ktk ligi lkn wakaenda kubeba uefa, na msimu huu Chelsea ni ya 11 lkn wapo robot final UEFA je UEFA ni kombe la loosers?

Ww ni takataka
JamiiForums-1670929452.jpg
 
Ww ni takataka View attachment 2576452

Looser [emoji777]

Loser [emoji3581]

Mkiambiwa hamna akili mnakasirika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom