4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kweli tupu bro.Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu,
Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka .
Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm , mtanishukuru badae .
Ni mda wa watu kujibizana kwa hoja nzito sio kutekana .
Bwana kanipa kibari cha kuwashauri japo mie sio mwanachama wenu, ila nchi yetu wote.
Sasa mleteni uyu mzee tz itachangamuka sana, itakua spana juu ya spana.
Thanks
KabisaKweli tupu bro.
Agrey Mwanri hachoshi kusikiliza
Na hapa mkuu ndo ccm hufanya kosa la kimkakati, Mzee wangu Pinda ,ni mtu mzuri , ila mzee mapigo yake G z hawezi ichangamsha ccm , shida ccm wapo na watu ma Prof kibao ila utafiti zeroPinda ndiye!, tayari!, ispokuwa Agrey mwanri angeichangamsha vizuri sana CCM.
Mzee wa soma hiyooooo, ngapi hukoooWakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu,
Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka .
Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm , mtanishukuru badae .
Ni mda wa watu kujibizana kwa hoja nzito sio kutekana .
Bwana kanipa kibari cha kuwashauri japo mie sio mwanachama wenu, ila nchi yetu wote.
Sasa mleteni uyu mzee tz itachangamuka sana, itakua spana juu ya spana.
Thanks
Sikia , hujui Dunia ,hujui siasa , kumbuka Rais wa Marekani mteule kuna kipindi kawa mpishi ghafla na kugawa chakula , je utasema ni mchekeshaji? Mwaniri ni wakati wa kumchukua uyu mzee , siasa ni sayansi mkuu, bila kujali unapita njia ganiUnataka chama kiwe kimachekesha sio?
Yule ni mchekeshaji asie na hoja
Mtambo ule.Pinda ndiye!, tayari!, ispokuwa Agrey mwanri angeichangamsha vizuri sana CCM.
Huyu mzee mfano ccm ikamchukua, wataniletea mapesa ya kunishukuru.Mzee wa soma hiyooooo, ngapi hukooo
Nakuelewa mkuu, ndo maana hii chama inakosa mvuto, wanachama wao ukiwauliza kwa nini ni mwanachama hupewi jibu.CCM ya sasa inapenda viongozi waliopooza kama maandazi ya muhogo yaliyolala
Siasa lazima uwe na uwezo wa kucheza Angle zote, na wakati mwingine upo mda lazima jitoa ufaham, je kweli kamati ya ccm haijui hili? Natamani ccm ife kifo cha amani sio dharula .Mwanri yuko sawa. Angalau tutacheka. Sasa hawa akina CPA Makalla sijui Nchimbi dah wamepoozaa hata maji ya mtungi yana unafuu!
View attachment 3203744
Halafu anakuja mjinga mmoja anasema eti vichekesho vya Aggrey Mwanri havina hoja!Mwanri yuko sawa. Angalau tutacheka. Sasa hawa akina CPA Makalla sijui Nchimbi dah wamepoozaa hata maji ya mtungi yana unafuu!
View attachment 3203744