Ushauri; CCM mleteni mh Mwaniri kama Makamu Mwenyekiti, mtanishukuru baadae

Ushauri; CCM mleteni mh Mwaniri kama Makamu Mwenyekiti, mtanishukuru baadae

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu.

Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu,

Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka .

Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm , mtanishukuru badae .

Ni mda wa watu kujibizana kwa hoja nzito sio kutekana .

Bwana kanipa kibari cha kuwashauri japo mie sio mwanachama wenu, ila nchi yetu wote.

Sasa mleteni uyu mzee tz itachangamuka sana, itakua spana juu ya spana.

Thanks
 
Ila kiukweli hata mimi namkubali sana Mwanri.
Ni kati ya my favorites leaders.
Kiukweli safu ya Hayati JPM ilikuwa imesheheni majembe sana.
Hapa Aggrey Mwanri, Sabaya, Makonda, n.k
Pale Jafo, Jenista, Dorothy Gwajima n.k
Nchi ilikuwa inaenda mchaka-mchaka.
Hakika nchi ilikuwa haipoi wala haiboi!
 
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu.

Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu,

Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka .

Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm , mtanishukuru badae .

Ni mda wa watu kujibizana kwa hoja nzito sio kutekana .

Bwana kanipa kibari cha kuwashauri japo mie sio mwanachama wenu, ila nchi yetu wote.

Sasa mleteni uyu mzee tz itachangamuka sana, itakua spana juu ya spana.

Thanks
Kweli tupu bro.
Agrey Mwanri hachoshi kusikiliza
 
atafute makamu mwanamke akitaka asipate usumbufu kwa mwaka huu muhimu kwa samia
 
Unataka chama kiwe kimachekesha sio?

Yule ni mchekeshaji asie na hoja
 
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu.

Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu,

Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka .

Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm , mtanishukuru badae .

Ni mda wa watu kujibizana kwa hoja nzito sio kutekana .

Bwana kanipa kibari cha kuwashauri japo mie sio mwanachama wenu, ila nchi yetu wote.

Sasa mleteni uyu mzee tz itachangamuka sana, itakua spana juu ya spana.

Thanks
Mzee wa soma hiyooooo, ngapi hukooo
 
Unataka chama kiwe kimachekesha sio?

Yule ni mchekeshaji asie na hoja
Sikia , hujui Dunia ,hujui siasa , kumbuka Rais wa Marekani mteule kuna kipindi kawa mpishi ghafla na kugawa chakula , je utasema ni mchekeshaji? Mwaniri ni wakati wa kumchukua uyu mzee , siasa ni sayansi mkuu, bila kujali unapita njia gani
 
Mzee wa soma hiyooooo, ngapi hukooo
Huyu mzee mfano ccm ikamchukua, wataniletea mapesa ya kunishukuru.

Moja

Mawaziri ,wakuu wa mikoa, wilaya ,makatibu wakuu hawatalala , ataimusha serikali nzima kuwa mguu sawa, alafu mtu anasema kitakua kichekesho.!!

Sasa ccm hawataki ushauri ,acha tuwaoneshe makali chadema .
 
Mwanri yuko sawa. Angalau tutacheka. Sasa hawa akina CPA Makalla sijui Nchimbi dah wamepoozaa hata maji ya mtungi yana unafuu!

CCM ya sasa inapenda viongozi waliopooza kama maandazi ya muhogo yaliyolala
Nakuelewa mkuu, ndo maana hii chama inakosa mvuto, wanachama wao ukiwauliza kwa nini ni mwanachama hupewi jibu.

Wazazi wangu ni ccm sana , ila tu siku nikiwahoji story huwa inaishia katikati.
 
Mwanri yuko sawa. Angalau tutacheka. Sasa hawa akina CPA Makalla sijui Nchimbi dah wamepoozaa hata maji ya mtungi yana unafuu!

View attachment 3203744
Siasa lazima uwe na uwezo wa kucheza Angle zote, na wakati mwingine upo mda lazima jitoa ufaham, je kweli kamati ya ccm haijui hili? Natamani ccm ife kifo cha amani sio dharula .

Kununua mabasi, pikipiki ni vitu vya kawaida sana kama huna magwiji ya siasa kama mzee tajwa , Makongoro Nyerere, utawachukulia wajinga ila ndani ya matani sindano inapenya
 
Mwanri yuko sawa. Angalau tutacheka. Sasa hawa akina CPA Makalla sijui Nchimbi dah wamepoozaa hata maji ya mtungi yana unafuu!

View attachment 3203744
Halafu anakuja mjinga mmoja anasema eti vichekesho vya Aggrey Mwanri havina hoja!

Yaani huyu Mwamba akipata platform, iwe ccm au chama chochote cha upinzani na akapewa "kitengo" cha kuongea-ongea, atatuvutia wapiga kura wengi sana.

Hata mimi japo huwa sihudhurii mikutano ya kisiasa, nitakuwa naenda kumsikiliza Mzee Mwanri, nicheke, nijifunze, niongeze siku
 
Back
Top Bottom