Ushauri: CHADEMA, Mrudisheni Dkt. Slaa chamani kuongeza morali ya ushindi

Nimekusoma vizuri sana. Ndio maana nashangaa kwa nini unapoteza muda kuishauri CHADEMA? Una fungamano gani huko?

Jus’ move on; and keep moving - with the party, CCM.
CCM inajifia, mrithi mwenye kuaminika ni CDM, sasa hata ushauri mzuri kwann usipokelewe?

Pia, usinivunjie Heshima kunihusisha na chama kilichoiba uchaguzi wote 2020.
 
Dr Slaa hajawahi kuvuliwa uanachama wa CHADEMA. Bado ni mwanaCHADEMA damdam na anafanya kazi za ukomboxi na utetezi wa rasilimali za umma kama kawaida.
 
Dr Slaa hajawahi kuvuliwa uanachama wa CHADEMA. Bado ni mwanaCHADEMA damdam na anafanya kazi za ukomboxi na utetezi wa rasilimali za umma kama kawaida.
Ndo arudishwe nafasi ya u- KM Ili kuongeza nguvu ya kupatikana Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi 2025.

Chama kirudi katika taswira yake ya awali ya uanaharakati na utetezi wa wasio na sauti.

Timu ya ushindi ikamilike.
 
Nimekusoma vizuri sana. Ndio maana nashangaa kwa nini unapoteza muda kuishauri CHADEMA? Una fungamano gani huko?

Jus’ move on; and keep moving - with the party, CCM.
Kweli kabisa. Aishauri CCM na CHADEMA pamwe? No. Atulie sehemu moja akae atulize tako tuli. Asitangetange kama kuku anayetaka kutaga.
 
Kweli kabisa. Aishauri CCM na CHADEMA pamwe? No. Atulie sehemu moja akae atulize tako tuli. Asitangetange kama kuku anayetaka kutaga.
Sasa ningekuwa CCM, Si ningewashauri wamchukue baada ya kujiuzilu Chongolo?

CHADEMA inapigiwa kura na wanachama na wasio wanachama.

Hivyo wananchi tuna HAKI ya Kutoa ushauri.
 
Ndo arudishwe nafasi ya u- KM Ili kuongeza nguvu ya kupatikana Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi 2025.

Chama kirudi katika taswira yake ya awali ya uanaharakati na utetezi wa wasio na sauti.

Timu ya ushindi ikamilike.
Unavyofahamu wewe, kwani sasa hivi Dr Slaa anatetea nini?
 
Sasa ningekuwa CCM, Si ningewashauri wamchukue baada ya kujiuzilu Chongolo?

CHADEMA inapigiwa kura na wanachama na wasio wanachama.

Hivyo wananchi tuna HAKI ya Kutoa ushauri.
Jikite upande mmoja....usiwe kama popo au kuku anayetafuta mahali pa kutagia.
 
Jikite upande mmoja....usiwe kama popo au kuku anayetafuta mahali pa kutagia.
Nipo upande wa Kweli na HAKI.

Au Hadi niwe mwana CDM ndipo niaminike?
 
Mbinu zote za kisiasa za kudai Katiba zimefeli!

Mbowe kanyamaza coz mkataba upon mezani namna ya kugawana keki!

Turufu pekee iliyobaki ni the state yaani dola kama Dola kuzuia uchaguzi bila iatiba mpya!

Yaani Dola ianze KAZI ya kupukutisha wasaka urais hadi wakiogope kiti Cha urais!!

Hadi chama chetu kianze kuuliza mnataka nini!!?

Tusubiri tuone kilichoamuliwa na dola kama wameamua Katiba iliyopo iendelee na ccm mbele Kwa mbele Bas!

Hakuna namna!!
 
Kama unakumbuka nilikwambia Kuna njia mbili,

1. Ya Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi, ngumu lakini ya kheri isiyo ya kukimbizana.

2. Mkono wa CHUMA, yaani ni amri Moja Toka juu. Na ataletwa Dikteta. Watabadili mgombea na kumleta ambaye hatokaa atoke Hadi dira ya muda mrefu wa Taifa itimie. Hiyo Inaitwa KG style.
Anyway twende tu.
 
Aliyepo angekubali mpango wa KATIBA mpya,

Angeweza kupata kugombea na angeweza kushinda angetawala zaidi ya miaka 10 sababu ya Katiba mpya.
 
Anzisha chama umsajili Dr. Slaa na mumpe ukatibu mkuu
 
Naunga mkono hoja! CDM wasahau yaliyopita waanze upya! Kama walimpapatikia Lowasa hatimaye akawakimbia, wamrudishe tu Dr.Slaa!
 
Kwani alifukuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…