Ushauri: CHADEMA msimkebehi Dkt. Slaa baada ya kurudi nchini, mfuateni na mumuombe arudi ili awanyanyue kisiasa tena

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.

Chadema mkipata Dkt. Slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.

Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
 
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.

Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.

Dkt Slaa hawezi kubali ilo jambo
 
Yaani amnyanyue bi mkubwa wako na sisi atunyanyue hebu tutake radhi, bwashehe
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.

Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.

Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
 
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.

Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.

Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
Nasikia amerudi kwenye nyumba aliojengewa na Chadema huko Mbweni,Ccm hawakumpa hata mafao.Mke aliyemrubuni wakimbilie Canada,aliporwa na mwwnaume mwingine.Malipo hapahapa.
 
Unasikia hauna uhakika
 
Kama vp kachukue nafasi ya Mushumbushi

Daaah sasa kwann akarudi nyumban? Mi nadhani kama ni mtu makini angeendelea kuisimamia misingi yake aliyokua anaipambania dhidi ya CCM kwa aidha kuanzisha chama chake ama kwenda upinzan.
 
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.

Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.

Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
Lucifer anapomshauri Jibril namna ya kutekeleza kazi zake! Haijawahi kutokea hii.
 
Dkt Slaa hawezi kubali ilo jambo
Kwan nan anamuhitaji mpka akatae?

IMG_20211029_105959.jpg
 
Nasikia amerudi kwenye nyumba aliojengewa na Chadema huko Mbweni,Ccm hawakumpa hata mafao.Mke aliyemrubuni wakimbilie Canada,aliporwa na mwwnaume mwingine.Malipo hapahapa.
Jamaa Ana katabia ka Uasi.

Aliuasi upadre akakimbilia kuoa. Ndoa imemshinda. Vidume vimemzidi kete

Akakiasi chama chake, Siasa imemshinda

Hivi sasa kawa mkiwa
 
CHADEMA walishakosea kwa Dr Slaa hivyo ni ngumu kwake kurudi CHADEMA. Isitoshe Dr Slaa hajawahi kuipenda CHADEMA kwasababu historia inaonyesha alijiunga kwa hasira tu baada ya jina lake kama mgombea ubunge kukatwa Dodoma kwenye kamati kuu mwaka 1995. Aligombea kupitia upinzani na akashinda. Pia umri ushasogea sana kiasi kwamba ni ngumu kuwa na ubora uleule wa kwenye siasa za majukwaani. Nawashauri wafuasi wa CHADEMA kujiunga na ACT kwa sababu ndo angalau chama cha upinzani chenye afya njema.
 
Mbona mwenyekiti wa chama chenu anatukebehi sisi wananchi na hujawahi kukemea hilo hata siku moja?:

Kwenye kampeni👇
Baada ya kuingia Ikulu👇🐒🐒🐒
 
Nani kakudanganya?nenda were akakunyanyue,2015 hakuwepo chadema iliyumba?2020 je iluyumba?
 
Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu.

Chadema mkipata Dk slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani.

Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya ubalozi kukata huko Sweden.
Hatupokei ushauri wa k-vant,tunachojua mama kakunyoa na kisu
 
Back
Top Bottom