Ushauri: Course ya Engineering ya kusoma

Ushauri: Course ya Engineering ya kusoma

Umesoma bila plan....
Kasome siasa engineering kama huna mtaji utajuta kuisoma
Kma huna unachojua ni bra ukakaa kimya nip naplan bt ushaur si ujinga kaka kma ukiona hujui kitu kaa kimya
 
Hongera sana kwa matokeo mazuri.

I'm sure kuna kitu unapenda in engineering ambacho kilikusukuma kuchukua combination hii ili uwe engineer ni kitu gani?
 
Habari wana JF mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimepata ufaulu wa div 1points 4 Yaani:-
PHYSICS-A
CHEMISTRY-B
A/MATHS-A
Naomba mwenye ufahamu wa engineering course ambazo zko marketable kwa sasa anisaidie.
Natanguliza shukrani

Apply vyuo vya European, Asia na America, civil engineering, electrical & electronics engineering, aircraft engineering, aerospace engineering
 
Soma Electrical, Civil au Environmental....Kama imagination zako ziko vizuri basi soma Computer Engineering....
 
Soma civil,electrical,chemical,mechanical,architecture,environment au computer lakini oil &gas sijui petroleum sababu una point 4 utakuja kulia baadae bora hata kasome mining,telecom au industrial [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Somaa civil hutojuta mkuu,,,,, coet udsm
Kozi ambazo sio za kisiasa yaan zipo maisha yoote ni
1. civil eng
2.mechanical eng

Ila kuna kozi zinakuja kisiasa yaan waliofaulu saan ndo uwa wanachukuliwa na mda ukipita kidogo inakuwa haina lolote mfano petroleum eng ya apa udsm japo siongelei kwa mabaya au naichukia ila nakupa maoni yangu

Kuna kozi pia nzuri saan zipo udsm conas pale kam
1.petroleum geology
2.petroleum chemistry
3.geology eng

Izio kozi apo juu wanaosoma pcm uwa hawazijui vizur kwasababu hazipo coet ila ni nzuri pia

NB *AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKO*
 
Habari wana JF mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimepata ufaulu wa div 1points 4 Yaani:-
PHYSICS-A
CHEMISTRY-B
A/MATHS-A
Naomba mwenye ufahamu wa engineering course ambazo zko marketable kwa sasa anisaidie.
Natanguliza shukrani
Niliisahau electrical eng
Pia jaribu kucheck vyuo vya nje kam japan au north america if possible ondoka
 
Back
Top Bottom