Ushauri: Course ya Engineering ya kusoma

Piga kati ya Civil.Mecha, Computer eng na Electrical Course ambazo uzitoe kabisa akilini ni petroleum na Telecommunications achana nanzo
 
Hizi nyundo zina maana gani mkuu?
Nakazia kiukweli usije ukaenda petroleum,afu Kama unataka engineering nzuri nenda UDSM pale COET,ndo utapata motisha but DIT nasikia hawana malectures wakutosha kwenye fani ya uandisi ko unaweza ukateseka sana.Zakuambiwa changanya na zako.
 
Mfumo Wa DIT pia si rafiki sana kwa kwa watu wa Direct Entry(Form Six). Unawafaa zaida watu waliotoka Diploma.
 
hongera nyingi zikufikie mdogo wangu kwa ufahulu huo. mimi ningekushauri usome mechanical engeneering, na zaidi ningekushauri uapply scholarships hasa za vyuo vya America kaskazini, Europe ama asia huko naamini kabisa utapata bilakusahau japan ama south korea where there is rapid growth of technology. all the bests mdogo wangu.
 
Huko kote kufanye aje tule vumbi la apaa coet udsm
 
Kozi ambazo sio za kisiasa yaan zipo maisha yoote ni
1. civil eng
2.mechanical eng

Ila kuna kozi zinakuja kisiasa yaan waliofaulu saan ndo uwa wanachukuliwa na mda ukipita kidogo inakuwa haina lolote mfano petroleum eng ya apa udsm japo siongelei kwa mabaya au naichukia ila nakupa maoni yangu

Kuna kozi pia nzuri saan zipo udsm conas pale kam
1.petroleum geology
2.petroleum chemistry
3.geology eng

Izio kozi apo juu wanaosoma pcm uwa hawazijui vizur kwasababu hazipo coet ila ni nzuri pia

NB *AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKO*
Akasome petroleum alafu akimaliza akalime tikiti au?
 
Habari wana JF mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimepata ufaulu wa div 1points 4 Yaani:-
PHYSICS-A
CHEMISTRY-B
A/MATHS-A
Naomba mwenye ufahamu wa engineering course ambazo zko marketable kwa sasa anisaidie.
Natanguliza shukrani
Kozi yeyote ya maji maana mtu ataishi mwaka bila nyumba ila hawezi ishi siku moja bila maji. Water is everything kijana... Au ukasome civil engineering ambao nao kwa kiasi flan wana overlap na watu wa maji japo siku hizi hawapewi nafasi za maji kama zaman maana kuna watu walio graduate kozi maji kutoka Sua na chuo cha maji...
 
hongera nyingi zikufikie mdogo wangu kwa ufahulu huo. mimi ningekushauri usome mechanical engeneering, na zaidi ningekushauri uapply scholarships hasa za vyuo vya America kaskazini, Europe ama asia huko naamini kabisa utapata bilakusahau japan ama south korea where there is rapid growth of technology. all the bests mdogo wangu.
Ahsante sna. Una taarifa zzte juu ya taasisi au jinsi ya kupta hzo scholarship??
 
Kozi yeyote ya maji maana mtu ataishi mwaka bila nyumba ila hawezi ishi siku moja bila maji. Water is everything kijana... Au ukasome civil engineering ambao nao kwa kiasi flan wana overlap na watu wa maji japo siku hizi hawapewi nafasi za maji kama zaman maana kuna watu walio graduate kozi maji kutoka Sua na chuo cha maji...
Ahsante wandug kwa ushaur
 
Back
Top Bottom