Mechanical Engineer
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 230
- 131
Mkuu DIT ndio kozi? Any way, kwa nini DIT?Nenda DIT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu DIT ndio kozi? Any way, kwa nini DIT?Nenda DIT
DIT(dar es salaam institute of technology),but nakushauri ukapige civil engineering utojuta kamwe au industrial and chemical processing engineering.Mkuu DIT ndio kozi? Any way, kwa nini DIT?
Aende UD, DIT bado changamoto ni nyingi kwa ngazi ya shahada.DIT(dar es salaam institute of technology),but nakushauri ukapige civil engineering utojuta kamwe au industrial and chemical processing engineering.
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Aende UD, DIT bado changamoto ni nyingi kwa ngazi ya shahada.
Hizi nyundo zina maana gani mkuu?[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
Nakazia kiukweli usije ukaenda petroleum,afu Kama unataka engineering nzuri nenda UDSM pale COET,ndo utapata motisha but DIT nasikia hawana malectures wakutosha kwenye fani ya uandisi ko unaweza ukateseka sana.Zakuambiwa changanya na zako.Hizi nyundo zina maana gani mkuu?
Mfumo Wa DIT pia si rafiki sana kwa kwa watu wa Direct Entry(Form Six). Unawafaa zaida watu waliotoka Diploma.Nakazia kiukweli usije ukaenda petroleum,afu Kama unataka engineering nzuri nenda UDSM pale COET,ndo utapata motisha but DIT nasikia hawana malectures wakutosha kwenye fani ya uandisi ko unaweza ukateseka sana.Zakuambiwa changanya na zako.
Ok hapo umenena sawa.Mfumo Wa DIT pia si rafiki sana kwa kwa watu wa Direct Entry(Form Six). Unawafaa zaida watu waliotoka Diploma.
Huko kote kufanye aje tule vumbi la apaa coet udsmhongera nyingi zikufikie mdogo wangu kwa ufahulu huo. mimi ningekushauri usome mechanical engeneering, na zaidi ningekushauri uapply scholarships hasa za vyuo vya America kaskazini, Europe ama asia huko naamini kabisa utapata bilakusahau japan ama south korea where there is rapid growth of technology. all the bests mdogo wangu.
Huko kote kufanye aje tule vumbi la apaa coet udsm[/QUOT
hahaha acha ukorofi weweee, pambana na coet mwenyewe
Inatolewa lumumba international university..school dean ni yule RC wa arum**uKununua wabunge na Madiwani wa CHADEMA
Ahahahah naona watu mnajazana tu.Ok hapo umenena sawa.
Hivi ukisomea Computer ukijiajiri unakuwa inashughulika na mambo gani kakasoma computer engineering ni rahisi kujiajiri
Akasome petroleum alafu akimaliza akalime tikiti au?Kozi ambazo sio za kisiasa yaan zipo maisha yoote ni
1. civil eng
2.mechanical eng
Ila kuna kozi zinakuja kisiasa yaan waliofaulu saan ndo uwa wanachukuliwa na mda ukipita kidogo inakuwa haina lolote mfano petroleum eng ya apa udsm japo siongelei kwa mabaya au naichukia ila nakupa maoni yangu
Kuna kozi pia nzuri saan zipo udsm conas pale kam
1.petroleum geology
2.petroleum chemistry
3.geology eng
Izio kozi apo juu wanaosoma pcm uwa hawazijui vizur kwasababu hazipo coet ila ni nzuri pia
NB *AKILI YA KUAMBIWA CHANGANYA NA YAKO*
Kozi yeyote ya maji maana mtu ataishi mwaka bila nyumba ila hawezi ishi siku moja bila maji. Water is everything kijana... Au ukasome civil engineering ambao nao kwa kiasi flan wana overlap na watu wa maji japo siku hizi hawapewi nafasi za maji kama zaman maana kuna watu walio graduate kozi maji kutoka Sua na chuo cha maji...Habari wana JF mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimepata ufaulu wa div 1points 4 Yaani:-
PHYSICS-A
CHEMISTRY-B
A/MATHS-A
Naomba mwenye ufahamu wa engineering course ambazo zko marketable kwa sasa anisaidie.
Natanguliza shukrani
Ahsante sna. Una taarifa zzte juu ya taasisi au jinsi ya kupta hzo scholarship??hongera nyingi zikufikie mdogo wangu kwa ufahulu huo. mimi ningekushauri usome mechanical engeneering, na zaidi ningekushauri uapply scholarships hasa za vyuo vya America kaskazini, Europe ama asia huko naamini kabisa utapata bilakusahau japan ama south korea where there is rapid growth of technology. all the bests mdogo wangu.
Ahsante wandug kwa ushaurKozi yeyote ya maji maana mtu ataishi mwaka bila nyumba ila hawezi ishi siku moja bila maji. Water is everything kijana... Au ukasome civil engineering ambao nao kwa kiasi flan wana overlap na watu wa maji japo siku hizi hawapewi nafasi za maji kama zaman maana kuna watu walio graduate kozi maji kutoka Sua na chuo cha maji...