Kabla ya ushari ungetuambia hizo taarifa za yeye kuathirika umezipata wapi ili tujue unaishi na mtu wa aina gani mbali na tatizo lake la kuathirika.
Je humo ndani anatambua kama nyie mnafahamu kuhusu afya yake
Kama una vijana wa kiume humo ndani ni hatari mkuu.Wandugu, nimepata msichana wa kunisaidia kazi za nyumbani. Ameathirika na anatumia Dawa za Ukimwi.
Je, ni hatari kuwa nae? Taabu gani zinaweza jitokeza?
Niendelee kuwa naye au nimrudishe kwao?
Ni familia ya watu wazima.
Mkuu kwny hili usinishauri utaharibuHapana. Kwenye maisha haya jitahidi sana usiwe na mahusiano na watumishi wako, iwe home or ofisini. Waone kama wanao tu au wadogo zako
Wewe huna UKIMWI????Wandugu, nimepata msichana wa kunisaidia kazi za nyumbani. Ameathirika na anatumia Dawa za Ukimwi.
Je, ni hatari kuwa nae? Taabu gani zinaweza jitokeza?
Niendelee kuwa naye au nimrudishe kwao?
Ni familia ya watu wazima.