Johnie2323
JF-Expert Member
- Dec 12, 2024
- 304
- 298
Mhhh mm cna ushauri ila kugundua tatzo n nusu ya kutibu tatizo. Shukur bora hata umejua kwamba anao. Je, asingelikwambia....si ungeishi naye hvohvo bila kujua??
Mbn Kuna wagonjwa wameathirika kwa ukimwi na magonjwa mengne tunaishi nao kweny familia, jamiii kwa amani bila kujua.!
Mbn Kuna wagonjwa wameathirika kwa ukimwi na magonjwa mengne tunaishi nao kweny familia, jamiii kwa amani bila kujua.!