Ushauri: Dada wa kazi ameathirika na anatumia dawa za kufubaza UKIMWI. Je, ni hatari kuwa naye?


Ishi naye sijui kwa upande wa mwenzako kama atakubali kitu hicho.

Siku akiwa amekosa usitumie ugonjwa ake kama sehemu ya kumsemea mabaya

Kwa upande wako unaonesha utayari wa kumsaidia ila kwa mwenzako (mke) ndio wasiwasi
 
Ishi naye sijui kwa upande wa mwenzako kama atakubali kitu hicho.

Siku akiwa amekosa usitumie ugonjwa ake kama sehemu ya kumsemea mabaya

Kwa upande wako unaonesha utayari wa kumsaidia ila kwa mwenzako (mke) ndio wasiwasi
Umenena vema rafiki. ni kweli upande wa pili mmmmmmh
 

Daah... So sad indeed!

Ndugu, kama una hofu ya Mungu please, have mercy, na Mwenyezi Mungu atakubariki, hebu jaribu kuvaa viatu vyake ungekuwa ni wewe katika mazingira kama hayo ungefanyaje?!

Kama amekwambia mwenyewe basi ni mtu mzuri, ishi nae kwa upendo na huruma huku ukimkumbusha azingatie dawa zake! Pia kuwa makini sote ni binadamu kuna kupitiwa!
 
Kwa kuwa amekwambia yeye mwenyewe huyo ni mtu mwema kama, nawewe tena wema sawa na matendo yake.
Usimrudishie kwao ishi naye kama sehemu ya familia yako,
 
Exactly
 
Watu kama hao kuwa na stress ni kawaida, mbaya zaidi zinaweza kupanda akamalizia stress zake Kwa watoto au kwenu nyie kiufupi mrudishe kwao wazazibar huwa wanasema sio rizki.
 
Nashauri usimfukuze,maadam amekuambia ,Basi chukua nafasi ya kuwa mzazi kwake,kaa naye,msimamie ameze dawa zake.
Pia watoto wako ( km wapo wa kiume)wakija nyumbani uwatahadharishe wasije mtongoza ikawa tabu
 
Hahaha,hamna andiko Hilo la nisaidie nami nitakusaidia,hahahaaa
 
Nashauri usimfukuze,maadam amekuambia ,Basi chukua nafasi ya kuwa mzazi kwake,kaa naye,msimamie ameze dawa zake.
Pia watoto wako ( km wapo wa kiume)wakija nyumbani uwatahadharishe wasije mtongoza ikawa tabu
Asante sana
 

Nakushukuru. umeongea ya moyoni kabisa
 
1. Taarifa za ugonjwa wake mmepata wapi?

2. Kama mnamtoto mdogo chini ya miaka 5 mrudisheni tuu.

Kama wote ninyi ni watu wazima muacheni
 
Kuna mmoja bhana alikua anashare miswaki na watoto lol tukamjua akasema alitaka kuwaambukiza 💔 ila kama Amna watoto kaeni nae maan Kila mtu anajielewa

Mmmm anashare miswaki tena... huyo alikusudia kuambukiza wasio na hatia. Dah!
 
Atajuaje unamichubuko ndio akulishe damu yake?
 
Taarifa amenipa mwenyewe baada ya kumuuliza kwa nini ameacha kazi alikokuwa anafanya mwanzo, akasema walimfukuza walipogundua anao kwani alianza kuumwa baada ya kuacha kutumia dawa ambazo amekuwa akitumia siku zote za nyuma, na akanambia wazi ameamua kuniambia maana alishauriwa na Daktari kwamba atakapokwenda aseme kama anatumia dawa ili asiache tena. Hivyo nikabaki nimeduwaa sijui nafanyaje, kibinadamu namhurumia sana lakini niko njia panda nimchukuwe au nimrudishe. Anadai alizaliwa nao na wazazi wake walishatangulia na hana kingine cha kufanya zaidi ya kazi za ndani ambazo amekuwa akifanya.

Kwa maelezo hayo mkuu mpe nafasi Kila mwenye kufanya wema hakika wema utamludia mara dufu
Mfanye kuwa sehemu ya familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…