Ushauri; Diamond Anaelekea Kuvunja Ndoa Yangu.

Ha ha kazi ndogo tu, wewe weka picha za jackline wolper
 
sasa kama utapiga picha tumbo wazi tumbo lenyewe limelendemka unategeme aitumie imuaibishe cha msingi nenda gym alafu nunua gitaa uwe unamuimbia.
 

Weka tatoo za lady jaydee halafu uone ata re act au aki re act mweleze ukweli na ayafute hayo mapicha ya huyo kichaa na wewe uondoe akigoma mpe kipigo huo ndiyo ushauri wangu punda haendi bila gongo ushabiki una mipaka.
 
Unapiga picha tumbo wazi una pack ngapi? Au mtumbo kama mimi? Ndo maana akakwambia nice pic kisha aka delete. Kuweka mambo ndoo wewe weka za wema, nazaidi ka print tshirt yenye picha ya wema, na leso ya mfukoni yenye picha ya wema, kwenye wailet yako weka picha mbili za wema, kwenye simu weka picha za wema kibao, kama una kagari, weka picha kubwa ya wema kioo cha nyuma. Chumba cha kulala weka picha kubwa ya wema ukutani. Ofisini weka picha ya wema kwenye fremu ya mezani.
 


Unataka tukusaidieje??

Kapige master ukalale
 
Kumbe na watoto ruksa kuoa siku hz. Fanya kazi..achana na wivu wa ***
 
Ulikuwa wapi mpaka mkeo akajichora tatoo? siku hiyo alikuaga?
We ni mtu mjinga!
 
Duuh!.. Unapatikana mkoa gani blaza.
 
Naona umeamua kumpa kick jamaa.
Kumbuka hata Marehemu Kanumba alikuwa hivi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…