Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWELI KABISA... JECHA KACHANGANYA WATUWewe umekuja kuchangamsha jukwaa kuondoa stress za jecha
umemkomesha tahira huyu mbwa kabisaNa wewe mpende zari...
Hahah...na umemuua kabisaumemkomesha tahira huyu mbwa kabisa
Diamond ni mzaz mwenzake na huyu mdadaHiyo Diamond ndiyo madude gani?
Tuelewesheni na sisi tunaoishi huku kijijini Bumbiti.
Hamuwezi ww Zari anatabia ya kuchanua na kunyauka ataweza???Na wewe mpende zari...
Hahaha umetisha mkuuUnapiga picha tumbo wazi una pack ngapi? Au mtumbo kama mimi? Ndo maana akakwambia nice pic kisha aka delete. Kuweka mambo ndoo wewe weka za wema, nazaidi ka print tshirt yenye picha ya wema, na leso ya mfukoni yenye picha ya wema, kwenye wailet yako weka picha mbili za wema, kwenye simu weka picha za wema kibao, kama una kagari, weka picha kubwa ya wema kioo cha nyuma. Chumba cha kulala weka picha kubwa ya wema ukutani. Ofisini weka picha ya wema kwenye fremu ya mezani.
Sabakher Wadau;
Nimevumilia Ila Naona Sasa Mambo Yananifika Shingon! Jaman Yf Wangu Anampenda Diamond Mpaka Mi Naona Wiv Wa Kufa Mtu!!
Hebu Chek;
Profile Picture Fb Kamuweka Diamond.
Profile Picture Whatsapp Kamuweka Diamond
Wallpaper Kamuweka Diamond
Simu Imejaa Nyimbo Za Diamond Na Video Zake!
Na Ana Tatoo Ya Diamond!
Mara Ya Kwanza Nikadhan Kisa Picha Za Tumbo Wazi! Nikaenda Studio Nikapiga Nikamtumia!! Kajibu Nyc Pic Hubby Halaf Hakuweka Profile!
Nataka Nimrudishe Kwao Ila Aone Wivu Wangu Et Nitakua Nimepotea Jaman?
Akiona haitoshi ampende mobeto[emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe mpende zari...
Huko bado mnatumia 2G, ndio maña huwezi mfaham huyu bwanaHiyo Diamond ndiyo madude gani?
Tuelewesheni na sisi tunaoishi huku kijijini Bumbiti.
ha haaaaaaaNa wewe mpende zari...