Ushauri; Diamond Anaelekea Kuvunja Ndoa Yangu.

Ushauri; Diamond Anaelekea Kuvunja Ndoa Yangu.

Na ww jichore tatoo ya zar,prfl weka zar kama anavyofanya yy ila kwenye nyimbo sikiliza mwanaume surual ya fa
 
si bora huyo wako anampenda mtu hata namba yake hana, wake wa wenzio saa hizi wanachat na wanaume wengine, wala sio issue potezea ni ya muda yatapita na wala usionyeshe kuchukia.
 
mm alianza nikamwambia, ntampeleka kwa Diamond kisha nikamuache kule, mpaka sasa ameacha.
 
Namwonea huruma sana mkeo alivoingia Chaka kukubali kuolewa na wewe kama mumewe! Na wewe tukuite kichwa cha familia au?
 
Mzama chumvini!!Ishu ipo ivi;She is just a fan na sio unavofikiria.
 
Back
Top Bottom