Ushauri; Diamond Anaelekea Kuvunja Ndoa Yangu.

Wewe umekuja kuchangamsha jukwaa kuondoa stress za jecha
 
Akali zako ni sawa na za k 4 life! muombe ushauri! mzee wa mikumi!.
 
vumilia tu bro yanamwisho hayo mimi pia mke wangu alikuwa anampenda sana mr nice hila sasa hv kashamsahau mapenzi yote kwangu
 
Unaoa vitoto vinavyovaa majeans yamechanika na vichupi ukitegemea nini
 
Hahaha umetisha mkuu
 


Jiunge freemason Mkuu. Hao ni waumini wa dini moja!
 
Vp yule anayema Ronaldo angenioa ningefurahi....mbele ya familia ktk mechi ya mpira
 
Umeshika mapembe. Kabisa mwanamke wako unalala naye halafu anachora tattoo ya mwanaume mwenzio na wewee unakenua tu. Khaaaaaa
 
Mwanaume wa Dar na Mwanamke wa Dar chini ya Mkuu wa mkoa wa Dar....
 
Itakuwa alikiwa analiwa na diamond
Na ulivyomuoa wewe haujawahi mridhisha kama alivyokuwa anaridhishwa na huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…