Ushauri: Dkt. Slaa, Advocate Mwambukusi, Kijana Mdude anzisheni chama kingine

tuanzishe chama ili mumtumie msajili kukiwekea kigogoro kabla hata ya kupata usajili wa kudumu? tutapambana hivi hivi ki-uanaharakati, cha msingi ni kwamba wananchi wa Tanganyika wanatuelewa vizuri mno na mapokeo yao kwenye hoja zetu ni mazuri sana.
 
Mimi nawashauri vijana wenye uchungu wawatie adabu hao uliowataja kwa lugha zao zisizo na staha.

Kama wao wanavyojuwa ujeuri natamani watokee vijana jeuri zaidi yao wawafanyie kidogo kama alivyofanyiwa ujeuri ulimboka na jeuri wenzie wasiojulikana.

Maana naona sasa wanazidi.
Jitokeze wewe uwashughulikie, au hauna uchungu?
 
Ni kweli tunahitaji chama mbadala, Chadema wanacheza ngoma ya CCM. Walianza kumsaidia mama na kumpindua Magufuli wakati wakijua fika walikuwa wanapambana na CCM na wore hao ni CCM. Leo ndio wanashituka na kusema maridhiano hayatekelezwi.
Wakianzisha chama ni wazi msajili hatakipa usajili mfano ni umoja party lakini Kuna vyama ambavyo vilishasajiliwa Ila vipovipo Kama DP party, TLP, NRA na vinginevyo wanaweza kaufanya mazungumzo navyo wakawa sehemu ya hivyo vyama. Watanzania huwa hawafatilii Sera za vyama Ila wanafatilia watu hapo wataweza kutoa changamoto kubwa kwa CCM.
 
Mimi nawashauri vijana wenye uchungu wawatie adabu hao uliowataja kwa lugha zao zisizo na staha.

Kama wao wanavyojuwa ujeuri natamani watokee vijana jeuri zaidi yao wawafanyie kidogo kama alivyofanyiwa ujeuri ulimboka na jeuri wenzie wasiojulikana.

Maana naona sasa wanazidi.
Chawa wa mama upo? unataka cheo?
 
Tena sana. Kudili na wajinga wasio na maadili ni lazima tuwe wajinga zaidi yao.

Wanachekelewa sana hao.

Nshala yuko wapi?
Acha kauli za kuonesha kwamba u a Roho mbaya dhidi ya wasio upande wako.

Walichozidi nini na Nshala kafanyaje kwani?

Acha tabia za ubwege mtozeni. 😂😂😂
 
Ni kweli tunahitaji chama mbadala, Chadema wanacheza ngoma ya CCM.
Wanachezaje ngoma ya CCM?
Walianza kumsaidia mama na kumpindua Magufuli wakati wakijua fika walikuwa wanapambana na CCM na wore hao ni CCM.
CHADEMA waliteswa sana na Magufuli, unatakaje wakae kimya wasiseme?
Watanzania huwa hawafatilii Sera za vyama Ila wanafatilia watu hapo wataweza kutoa changamoto kubwa kwa CCM.
Kwani Kuna mtu kalazimishwa kuwa CHADEMA? Kama watanzania hawafuatilii mambo ya sera, mbona huwa mnaisakama CHADEMA kuwa haina sera??
 
Na daima CCM itabaki palepale walipo.
Hata iweje Mimi nmekua nikiamini mabadikiko yatatokea tu, lakini now nmegundua mkongwe ni mkongwe tu.
 
Mimi nawashauri vijana wenye uchungu wawatie adabu hao uliowataja kwa lugha zao zisizo na staha.

Kama wao wanavyojuwa ujeuri natamani watokee vijana jeuri zaidi yao wawafanyie kidogo kama alivyofanyiwa ujeuri ulimboka na jeuri wenzie wasiojulikana.

Maana naona sasa wanazidi.
Exctly
 
Wanachezaje ngoma ya CCM?
Walipokubali maridhiano huku wakijua fika CCM hawapo tayari kwa maridhiano na wenyewe wamekiri rais alitumia maridhiano kujipaisha kimataifa.
CHADEMA waliteswa sana na Magufuli, unatakaje wakae kimya wasiseme?
Magufuli alitokea chama gani?
Kwani Kuna mtu kalazimishwa kuwa CHADEMA? Kama watanzania hawafuatilii mambo ya sera, mbona huwa mnaisakama CHADEMA kuwa haina sera??
Unaweza kuniletea andiko nililosema Chadema Haina Sera. Ungesoma na ukaelewa kwani nimeandika watanzania wengi hawafatilii Sera za vyama na ushahidi ni jinsi wanasiasa wanavyohama vyama. Madai ya wengi wanaohama ni ama kunyimwa nafasi ya kugombea, ufinyu wa demokrasia Ila sijasikia mwanasiasa anahama kwa sababu ya Sera.
 
Asalam,

Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani.

1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia.

2. Mahala ninapishi network yake iko 2 (kuna shida sana ya mtandao)

3. Hapa jukwani wengi ni akili ndogo sana isipokuwa hawa Mama Amoni, Lord Dening, Mayala, Mzee Mohamed Said, Nyerere wa masuala ya HUMINT, Chawa Mwashamba, etc.

Yangu ya leo
1. Dr. Slaa na Mwambukusi wamefanya kosa sana kumwingiza huyu nduguyetu wa upinde kwenye eneo lao. Wameisha na watapotea. Nimeona sasa kwa wiki hizi mbili wako nae. Tunamfahamu na hafai. Najua inawezekana wanajaribu kutafuta jukwaa. Lkn tunahitaji mbadala wa CHADEMA NA NCCR kwenye opposition. CHADEMA HAVE NOTHING TO OFFER Katika hii miaka 40 sasa ya umri wao toka waanzishe informally and formally (MZEE mtei alianzisha upinzania akiwa BOT pamoja na Mzee Bomani. Haikuwa Coincidence, ni kazi ya CIA) Hivyo hawa sio sehemu sahihi. NCCR ilianzishwa kwa msaada mkubwa wa wanaharakati wa LGBT wa USA. Unganisha dots.

2. Tatizo la Tanzania sio CCM, ni Akili na historia zetu watanzania. Akili zetu zinashida kutokana na elimu yetu, historia yetu inachangamoto kwakuwa matukio ya kumwaga damu yamefichwa na tawala za kwanza. Iko shida hapa.

3. CCM kwa sasa haijui inachofanya, inachotakiwa kufanya na hata ideology gani wanasimamia.

4. Hatuna mechanisms za kuwajisha waovu wa umma. Kunyonga, kufukuza, etc. Kwa ujumla tuko kwenye Non Governance State. Hali ya kukosa uongozi na utawala. Umeme, maji, dawa hospitali, mafuta etc vinaweza kuisha muda wowote na no one cares. Tumebaki kukaaa kimya kama dead bodies pale mochwali.

5. CHADEMA, NCCR, CUF etc vinaongozwa na watu waliochoka na wanawaza gratification ya muda mfupi. We know it suala la ukosefu wa maadili ya hawa watu hata kwenye mikutano yao huko mikoani. Ni ngono, na vibes, wakistarehe kwenye shida za watanzania. Kwa ujumla hawana agenda.

6. 2025 hivi vyama vinajua CCM itaiba na itashinda lakn hilo sio tatizo kwao. Hawakuanzisha vyama hivi ili kutoa ccm madaraka. Invekuwa hivyo wangeshafanya. 2015 CHADEMA iligumika technically kuipa ushindi CCM. The best ilikuwa El na Kundi lake kuanzisha CCM B. Shida ikawa Sheria zetu ni Ngumu kwa ule muda mfupi. Sheria zetu tofati na Kenya. Kenye vyama vinaweza kuungana in a very short time.

Sasa tufanyaje
Dr. Slaa na Mwambukusi anzisheni CHAMA KINGINE
Wewe hupendi ngono?
 
Mimi nawashauri vijana wenye uchungu wawatie adabu hao uliowataja kwa lugha zao zisizo na staha.

Kama wao wanavyojuwa ujeuri natamani watokee vijana jeuri zaidi yao wawafanyie kidogo kama alivyofanyiwa ujeuri ulimboka na jeuri wenzie wasiojulikana.

Maana naona sasa wanazidi.
Vijana gani DP World au?
 
Mbowe amayashika chini makuwadi ua warabu koko dpworld na bado tunaenda kumchagua tena kwa kishindo November.
Kwani hakuna mwanachama wa CDM mwenye uwezo wa kuiongoza CDM bali ni Mbowe peke yake. Huu ni udhalilishaji wa wanachama wa CDM
 
Tatizo la CDM inamilikiwa na mtu. Mbowe ameifanya CDM ni mali yake. Ingekuwa Kuna mabadiliko ya uongozi CDM ingeleta taswila ya uzalendo. Hivyo ni bora wakaanzisha chama chama Kisha wachukue wanaccm wanaokubalika katika jamii ngoma ichezwa
Uzalendo wa kupiga magoti kwa watawala ni upumbavu
 
Asalam,

Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani.

1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia.

2. Mahala ninapishi network yake iko 2 (kuna shida sana ya mtandao)

3. Hapa jukwani wengi ni akili ndogo sana isipokuwa hawa Mama Amoni, Lord Dening, Mayala, Mzee Mohamed Said, Nyerere wa masuala ya HUMINT, Chawa Mwashamba, etc.

Yangu ya leo
1. Dr. Slaa na Mwambukusi wamefanya kosa sana kumwingiza huyu nduguyetu wa upinde kwenye eneo lao. Wameisha na watapotea. Nimeona sasa kwa wiki hizi mbili wako nae. Tunamfahamu na hafai. Najua inawezekana wanajaribu kutafuta jukwaa. Lkn tunahitaji mbadala wa CHADEMA NA NCCR kwenye opposition. CHADEMA HAVE NOTHING TO OFFER Katika hii miaka 40 sasa ya umri wao toka waanzishe informally and formally (MZEE mtei alianzisha upinzania akiwa BOT pamoja na Mzee Bomani. Haikuwa Coincidence, ni kazi ya CIA) Hivyo hawa sio sehemu sahihi. NCCR ilianzishwa kwa msaada mkubwa wa wanaharakati wa LGBT wa USA. Unganisha dots.

2. Tatizo la Tanzania sio CCM, ni Akili na historia zetu watanzania. Akili zetu zinashida kutokana na elimu yetu, historia yetu inachangamoto kwakuwa matukio ya kumwaga damu yamefichwa na tawala za kwanza. Iko shida hapa.

3. CCM kwa sasa haijui inachofanya, inachotakiwa kufanya na hata ideology gani wanasimamia.

4. Hatuna mechanisms za kuwajisha waovu wa umma. Kunyonga, kufukuza, etc. Kwa ujumla tuko kwenye Non Governance State. Hali ya kukosa uongozi na utawala. Umeme, maji, dawa hospitali, mafuta etc vinaweza kuisha muda wowote na no one cares. Tumebaki kukaaa kimya kama dead bodies pale mochwali.

5. CHADEMA, NCCR, CUF etc vinaongozwa na watu waliochoka na wanawaza gratification ya muda mfupi. We know it suala la ukosefu wa maadili ya hawa watu hata kwenye mikutano yao huko mikoani. Ni ngono, na vibes, wakistarehe kwenye shida za watanzania. Kwa ujumla hawana agenda.

6. 2025 hivi vyama vinajua CCM itaiba na itashinda lakn hilo sio tatizo kwao. Hawakuanzisha vyama hivi ili kutoa ccm madaraka. Invekuwa hivyo wangeshafanya. 2015 CHADEMA iligumika technically kuipa ushindi CCM. The best ilikuwa El na Kundi lake kuanzisha CCM B. Shida ikawa Sheria zetu ni Ngumu kwa ule muda mfupi. Sheria zetu tofati na Kenya. Kenye vyama vinaweza kuungana in a very short time.

Sasa tufanyaje
Dr. Slaa na Mwambukusi anzisheni CHAMA KINGINE

Ccm? Wawasajili?
 
Ni kweli tunahitaji chama mbadala, Chadema wanacheza ngoma ya CCM. Walianza kumsaidia mama na kumpindua Magufuli wakati wakijua fika walikuwa wanapambana na CCM na wore hao ni CCM. Leo ndio wanashituka na kusema maridhiano hayatekelezwi.
Wakianzisha chama ni wazi msajili hatakipa usajili mfano ni umoja party lakini Kuna vyama ambavyo vilishasajiliwa Ila vipovipo Kama DP party, TLP, NRA na vinginevyo wanaweza kaufanya mazungumzo navyo wakawa sehemu ya hivyo vyama. Watanzania huwa hawafatilii Sera za vyama Ila wanafatilia watu hapo wataweza kutoa changamoto kubwa kwa CCM.
Ila Chama cha DP World kipo.
 
Walipokubali maridhiano huku wakijua fika CCM hawapo tayari kwa maridhiano na wenyewe wamekiri rais alitumia maridhiano kujipaisha kimataifa.

Magufuli alitokea chama gani?

Unaweza kuniletea andiko nililosema Chadema Haina Sera. Ungesoma na ukaelewa kwani nimeandika watanzania wengi hawafatilii Sera za vyama na ushahidi ni jinsi wanasiasa wanavyohama vyama. Madai ya wengi wanaohama ni ama kunyimwa nafasi ya kugombea, ufinyu wa demokrasia Ila sijasikia mwanasiasa anahama kwa sababu ya Sera.
Jana Sirari uwanja wa Tarafa uwanja ulifurika kusikiliza Sera za Mwamba Mbowe bila hata kuogopa jua.
 
Wakikusikiliza wataingia maboya. Unaanzasha chama ili iweje wakati vilivyopo hata kufanya mikutano haviwezi. Kwa Sasa ni CHADEMA tu ndio wanafanya mikutano wengine wamejifungia ndani.
 
Back
Top Bottom