Ushauri: Dkt. Slaa, Advocate Mwambukusi, Kijana Mdude anzisheni chama kingine

tuanzishe chama ili mumtumie msajili kukiwekea kigogoro kabla hata ya kupata usajili wa kudumu? tutapambana hivi hivi ki-uanaharakati, cha msingi ni kwamba wananchi wa Tanganyika wanatuelewa vizuri mno na mapokeo yao kwenye hoja zetu ni mazuri sana.
 
Jitokeze wewe uwashughulikie, au hauna uchungu?
 
Ni kweli tunahitaji chama mbadala, Chadema wanacheza ngoma ya CCM. Walianza kumsaidia mama na kumpindua Magufuli wakati wakijua fika walikuwa wanapambana na CCM na wore hao ni CCM. Leo ndio wanashituka na kusema maridhiano hayatekelezwi.
Wakianzisha chama ni wazi msajili hatakipa usajili mfano ni umoja party lakini Kuna vyama ambavyo vilishasajiliwa Ila vipovipo Kama DP party, TLP, NRA na vinginevyo wanaweza kaufanya mazungumzo navyo wakawa sehemu ya hivyo vyama. Watanzania huwa hawafatilii Sera za vyama Ila wanafatilia watu hapo wataweza kutoa changamoto kubwa kwa CCM.
 
Chawa wa mama upo? unataka cheo?
 
Tena sana. Kudili na wajinga wasio na maadili ni lazima tuwe wajinga zaidi yao.

Wanachekelewa sana hao.

Nshala yuko wapi?
Acha kauli za kuonesha kwamba u a Roho mbaya dhidi ya wasio upande wako.

Walichozidi nini na Nshala kafanyaje kwani?

Acha tabia za ubwege mtozeni. 😂😂😂
 
Ni kweli tunahitaji chama mbadala, Chadema wanacheza ngoma ya CCM.
Wanachezaje ngoma ya CCM?
Walianza kumsaidia mama na kumpindua Magufuli wakati wakijua fika walikuwa wanapambana na CCM na wore hao ni CCM.
CHADEMA waliteswa sana na Magufuli, unatakaje wakae kimya wasiseme?
Watanzania huwa hawafatilii Sera za vyama Ila wanafatilia watu hapo wataweza kutoa changamoto kubwa kwa CCM.
Kwani Kuna mtu kalazimishwa kuwa CHADEMA? Kama watanzania hawafuatilii mambo ya sera, mbona huwa mnaisakama CHADEMA kuwa haina sera??
 
Na daima CCM itabaki palepale walipo.
Hata iweje Mimi nmekua nikiamini mabadikiko yatatokea tu, lakini now nmegundua mkongwe ni mkongwe tu.
 
Exctly
 
Wanachezaje ngoma ya CCM?
Walipokubali maridhiano huku wakijua fika CCM hawapo tayari kwa maridhiano na wenyewe wamekiri rais alitumia maridhiano kujipaisha kimataifa.
CHADEMA waliteswa sana na Magufuli, unatakaje wakae kimya wasiseme?
Magufuli alitokea chama gani?
Kwani Kuna mtu kalazimishwa kuwa CHADEMA? Kama watanzania hawafuatilii mambo ya sera, mbona huwa mnaisakama CHADEMA kuwa haina sera??
Unaweza kuniletea andiko nililosema Chadema Haina Sera. Ungesoma na ukaelewa kwani nimeandika watanzania wengi hawafatilii Sera za vyama na ushahidi ni jinsi wanasiasa wanavyohama vyama. Madai ya wengi wanaohama ni ama kunyimwa nafasi ya kugombea, ufinyu wa demokrasia Ila sijasikia mwanasiasa anahama kwa sababu ya Sera.
 
Wewe hupendi ngono?
 
Vijana gani DP World au?
 
Mbowe amayashika chini makuwadi ua warabu koko dpworld na bado tunaenda kumchagua tena kwa kishindo November.
Kwani hakuna mwanachama wa CDM mwenye uwezo wa kuiongoza CDM bali ni Mbowe peke yake. Huu ni udhalilishaji wa wanachama wa CDM
 
Tatizo la CDM inamilikiwa na mtu. Mbowe ameifanya CDM ni mali yake. Ingekuwa Kuna mabadiliko ya uongozi CDM ingeleta taswila ya uzalendo. Hivyo ni bora wakaanzisha chama chama Kisha wachukue wanaccm wanaokubalika katika jamii ngoma ichezwa
Uzalendo wa kupiga magoti kwa watawala ni upumbavu
 


Ccm? Wawasajili?
 
Ila Chama cha DP World kipo.
 
Jana Sirari uwanja wa Tarafa uwanja ulifurika kusikiliza Sera za Mwamba Mbowe bila hata kuogopa jua.
 
Wakikusikiliza wataingia maboya. Unaanzasha chama ili iweje wakati vilivyopo hata kufanya mikutano haviwezi. Kwa Sasa ni CHADEMA tu ndio wanafanya mikutano wengine wamejifungia ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…