Ushauri: Dkt. Slaa, Advocate Mwambukusi, Kijana Mdude anzisheni chama kingine

Waswahili walisema sikio la kufa halisikii dawa.

Hawaijuwi Tanzania hao, huyo slaa anawaingiza mkenge tu.

Wamuulize kwanini hatulii sehemu moja?
 
Lakini pia chama cha siasa kufanywa mali ya mtu ni upumbavu mbadala
CHADEMA=CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO,CHADEMA(UHURU NA WATU) kusema kwamba CHADEMA ni Chama cha mtu mmoja ni upumbavu uliopitiliza kwa sababu ya chuki.

1.Freeman Mbowe - Mwenyekiti (Kilimanjaro)
2.Tundu Antipas Lissu-Makamu Mwenyekiti(Singida)
3.John Mnyika -Katibu
4.Salum Mwalimu-Kaimu Katibu(Zanzibar)
5.John Heche(Tarime-MARA)
6.Ezechiel Wenje(Rorya-MARA)
7.Joseph Mbilinyi(Mbeya)
8.Mch.Msigwa(Iringa)
Je wote hao ni mtu mmoja.Na kwenye mikutano yao wanapatikana hao hao tu?
 
Acha hasira mkuu.
Matusi wala hayakusaidii kujenga hoja. Na pia usipindishe hoja ya msingi niliyoitoa kuhusu mbowe. Maana yangu ni kwamba mbowe amekuwa ni mwenyekiti wa taifa wa CDM kwa mda mrefu sana je ndani ya CDM hakuna ukomo wa uongozi? Hiyo ndiyo hoja yangu na iliyonipelekea kuchukulia kwamba chadema imekuwa ni ya mbowe.

Tuliza mzuka turudi nyuma kidogo wewe mpenda matusi. Je mbowe amechukua au ameridhi uenyekiri wa taifa toka kwa nani? Huyo mwenyekiti ni wa mkoa gani na alikuwa na mahusiano gani na mbowe?

Je kwa wanachama wote wa CDM taifa hakuna mwanachama anaefaa kuwa mwenyekiti wa CDM taifa Bali ni mbowe tu? Akifariki itakuwaje?

Zaidi ya yote uwe unasoma na unaelewa alichokiandika mtu siyo unakurupuka kutoa matusi na kujibu majibu ya ajabu. Mimi sijazungumzia ukanda wewe umeibuka na majibu ya ukanda

PUNGUZA BANGI. MPUMBAVU MWENYEWE
 
wakianzisha chama, mimi nitakuwa mfuasi wao.
 
kwa hawa ulioorodhesha, mzalendo na wa kumwamini ni mmoja tu, Tundu Lisu. wengine hao ukiwaweka na kina mwabukusi na slaa wanazidiwa.
 
Je Lipumba kuhusu CUF,je Cheyo Kuhusu DP na Mrema amekufa akiwa ndiye Mwenyekiti wa TLP mbona hujahoji kuhusu hao watu ila unamkazania Mbowe kisa tu ana chama imara kinachokunyima usingizi.
 
kwa hawa ulioorodhesha, mzalendo na wa kumwamini ni mmoja tu, Tundu Lisu. wengine hao ukiwaweka na kina mwabukusi na slaa wanazidiwa.
Haijalishi ila pale wanaposimamia kile wanachokiamini bila kuburuzwa wanafanya chama kiwe imara kila siku.
 
Nchi ina wajinga sana ,badala ya kuunganisha nguvu na chama ambacho kimejikita vyema kama chadema kuitoa ccm madarakani , mnashuri upumbavu, unafikili kuanzisha chama na kustawi ni kazi nyepesi, acha upumbavu, tusijidanganye ,tz tuna vyama vingapi na viko wapi?

Mnakaa mnajidagaya kwamba anzisha chama na kukubalika ni kazi nyepesi ,hata iyo ACT bila CUF , hakuna kitu pale , sasa hata wakianzisha leo kwamba watachukua nchi kesho au kesho kutwa zwazwa sana wewe
 
Ushauri wangu kwa Wanaharakati wote Nchini Tanzania tutumie muda huu kupenyeza ajenda zetu kwenye Majukwaa haya HURU.

Sasa hivi Mikutano rukhsa na Makongamano pia ni rukhsa Maandamano ndio wanabania lakini wataachia.
 
CDM amebaki na sera ya kumtukana marehemu JPM kwa kweli hawana mbinu za kuitoa CCM, wanashambulia mtu badala ya mfumo na sera za CCM wanapoteza muda wa watu.
 
Sawa,
 
TEC iwe baraza la udhamini wa hicho chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…