Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
kabisaaaa mkuu umefika hilo ndo la msingiNenda moja kwa moja kamuone dakitari hiyo itakusaidia kuliko kumsuburi humu.. wakati watu wako chitchat MMU
hata wewe kama una lolote liweke mkuuOohhh!
Madaktari mkuje mtoe msaada.....
Aende hospital akaonane na daktari ndio anaweza msaidia zaidi coz atamuona mhusika moja kwa moja lakini sisi humu tutakufariji kwa maneno hatumuoni mhitaji msaada kwa karibu.hata wewe kama una lolote liweke mkuu
Asanteee mkuuAende hospital akaonane na daktari ndio anaweza msaidia zaidi coz atamuona mhusika moja kwa moja lakini sisi humu tutakufariji kwa maneno hatumuoni mhitaji msaada kwa karibu.
Asante.
Mkuu, kuwa na amani, ushauri wanguDoctors au aliyewahi ku experience hii kitu msaada wa ushauri kabeba ujauzito mtoto aliyepo ana umri wa miezi 11 je tumbo litaweza kuhimili ujauzito mwingine? Binafsi nikashauri labda zile njia nyingine LAKINI KAGOMA KABISA NAMI NIKIJIULIZA KUHUSU MSHONO ALIOFANYIWA OPERATION NAONA BADO MIEZI 11 TOKA KUJIFUNGUA NI MICHACHE SANA naomba ushauri kwake kwa afya ya mtoto huyu mwenye miezi 11 hana shida labda je aendelee kunyonya au ni kumwachisha kadai anakula vizuri tu
Asante sana nashukuru sana hata daktari kashauri hivyo hivyo blessed muchMkuu, kuwa na amani, ushauri wangu
1. Hiyo mimba ya ya sasa itakua vizuri tu, azingatie taratibu zote za mama mjamzito, i.e kwenda kliniki, kutumia dawa za folic acid, madini chuma, dawa za kinga ya malari (muda ukifika), kula vizuri na kupumzika.
2. Mtoto wa sasa asiachishwe kunyonya, anyonyeshwe na kupewa vyakula vingine kama kawaida. Pia baba na mama onesheni mapenzi na ujirani kwa huyu mtoto.
3. Wakati wa kujifungua ukifika, daktari apewe historia kamili, sababu kitaalam huyo mama hashauriwi kujaribu kusukuma, hivyo ni salama zaidi akifanyiwa C section tena hata kama sababu za Csection za mtoto wa kwanza hazipo kwenye hii mimba ya sasa.
Asante sana mkuuAwahi kliniki amweleze dr.hali halisi,ujauzito wake utakua vizuri tu Wakati wa kujifungua ni vizuri achague oparetion ndio njia salama zaidi,kuhusu mtoto anaweza kuendelea kunyonyesha lkn mama ni sharti ale msosi wa maana na baba uonyeshe support ya nguvu
asante sana mkuu kaweza kuwaona kashauriwa vizuri sana kama wadau humu baadhiPole sana. Jibu sahihi ni hili: NENDA HOSPITALI, ONANA NA DAKTARI WA AKINA MAMA, ATAKACHOKUSHAURI TEKELEZA BILA KULETA UBISHI!
Wanandoa hasa akina baba, tuwe makini jamani, tuwe wavumilivu ktk kufanya tendo la ndoa, Mishono inawaumiza sana akina mama!
Poleni!
Asante sana mkuu nashukuru kaweza kuwaona wameshauri vizuri sanaMungu ni mwema atajifungua salama na asimuachishe mtoto mpaka mimba itapotimiza miezi 6.
Kwa ushauri zaidi ungeenda kumuona Gyno.
Next time muwe makini jamani msifanye mchezo na afya
.Heri wewe ana miezi 11, kuna mmoja alipata baada ya miezi 3 na still akazaa vizuri kwa operation ya pili ndani ya miezi 12.