Ushauri: Doctors, nurses na wafanyakazi wa hospitali zote za , serikali wavae vitambulisho shingoni Ili tuwashughulikie wazembe

Ushauri: Doctors, nurses na wafanyakazi wa hospitali zote za , serikali wavae vitambulisho shingoni Ili tuwashughulikie wazembe

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Hellow!

Katika Taasisi mbalimbali zitoazo huduma za kibenki na Taasisi zingine za Serikali na binafsi, watumishi huvaa vitambulisho shingoni vyenye Majina Yao Ili kumpa nafasi mteja Kutoa malalamiko au kudai HAKI yake ambayo anaona imepokwa au kudhulumiwa na mtoa huduma.

Tukirudi kwenye sekta nyeti ya Afya, baada ya kuona ajira kwenye sekta ya Afya pana ajira za uhakika, wahuni nao wameingia wengine Kwa RUSHWA wengine Kwa uwezo darasani ila hawana wito, Wala HOFU ya Mungu Wala huruma Kwa binadamu wenzao, wanatoa huduma viwango vya chini sana. Yaani daktari yumo chumba Cha stroke unit na wagonjwa serious apasao kuwaangalia, Yeye anachat na kuvinjari mitandao ya kijamii muda wa KAZI, wengine hawafanyi KAZI zao Hadi wabembelezwe!

Sasa nimepokea malalamiko tokea vyanzo vyangu kuhusu hospitali nyingi za Serikali yetu hawana vitambulisho, sasa kuanza kumuuliza Jina mhudumu au daktari aliyempora nduguyo HAKI ya uhai Si Rahisi, ingekuwa Rahisi kama wangekuwa na vitambulisho vya kuvaliwa shingoni.

Namaanisha hospitali zote za Serikali ngazi zote kuanzia kata ,wilaya, mikoa ,majiji, Kanda Hadi rufaa, wote wavae ID.

Hii itasaidia sana ikiwa mwananchi ambaye ndiye mwajiri wa mtoa huduma, akitaka kumfuata KAZI mhudumu muhuni, katili asiye na utu kujali wagonjwa iwe Rahisi kufutwa KAZI.

Yaani kupoteza KAZI Kwa nurse au daktari mzembe, katili iwe Rahisi kama kumfuata KAZI polisi asiye na maadili.

Uhai ni zawadi aliyotupa muumba wetu tuutunze na kuuthamini.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Nawasilisha.
 
Wanavaa name plates vifuani mwao zinazoonyesha jina na rank yake
 
Mbona huwa wanavyo na wanavaa, ila baadhi yao hawafuati masharti.

Ila Kuvaa ID nako Jau, nimekumbuka nikiwa campus nilikua sivai mda wote.
 
Mbona huwa wanavyo na wanavaa, ila baadhi yao hawafuati masharti.

Ila Kuvaa ID nako Jau, nimekumbuka nikiwa campus nilikua sivai mda wote.
Wa aina Yako ndio nawatafuta niwafute KAZI,

Kuna wauguzi waovu sana,

Wameingia ingiaje, sijui.
 
Sababu : rushwa, uzembe kazini na lack of job satisfaction! Wa TRA, TANESCO etc wanavaa mpaka bar wakijidai wamesahau kuvua kumbe wameridhika na kazi yao kisa mishahara
Sasa usiporidhika Si uende kufungua biashara,

Magonjwa anawezaje kukuhonga ukafanikiwa na kukidhi mahitaji Yako zaidi ya kukuachia LAANA!

Na pesa ipi itamtosha dokta Kwa ugumu na unyeti wa KAZI yake kama hatojitoa?
 
Mkuu vipi na sisi boda bodaa tunaitajikaa vitambulisho pia??..
Unamaanisha Hawa Maafisa usafirishaji?

Vitambulisho muhimu,

Lakini tuanzie na Hawa doctors na nurses wanaokata miguu yenu Kwa kuwakomoa utadhani Huwa hawapandi boda boda.
 
Back
Top Bottom