Ushauri: Engine ya gari inatetemeka na kuunguruma sana

Funga 1ZZ yenye cc 1790 inakula mafuta vizuri sana na itakaa bila matatizo yoyote
 
Funga 1ZZ yenye cc 1790 inakula mafuta vizuri sana na itakaa bila matatizo yoyote
Thanks mkuu kwa ushauri. kwa kuuliza tu, hivi hamnaga hyo ya 1ZZ yenye cc 1490? maana nikiamua kuingia gharama ya kununua ENGINE natamani kusave mafuta to the maximum. karibuni
 
Hiyo pesa ya kununua engine ongezea kidogo ununue Vitz ya m3.5 ili Rav 4 uwe unatumia mara moja moja kwenye mitoko. Sasa hivi vyuma vimebana mkuu. Usione soni kukaa kwenye Vitz.
Hiyo Rav 4, ipeleke ikapimwe na computer ili wabaini ubovu.
 
Hahaa.. mahaba ya gari bwana huwa yanachekesha sana,kwa hiyo wewe unataka ununue engine ya IST ubakie na body la RAV4 badala ya kuuza hilo RAV lako na kununua IST na engine yake,nakuonea huruma tu kwenye jina la gari sijui utabadilisha au itakuwaje,RAVIST4...??Hahaha..
 
Engine kutetemeka cheki engine mounting kuna uwezekano inekatika vilevile unaweza kuta ina miss hivyo kusababisha engine kutetemeka na kula mafuta kwa wingi tofauti ulivyoinunua,kwenye mfumo wa mafuta kuna sensor na zenyewe zikichoka zinasababisha gari kutumia mafuta kwa wingi
 
Hiyo pesa ya kununua engine ongezea kidogo ununue Vitz ya m3.5 ili Rav 4 uwe unatumia mara moja moja kwenye mitoko. Sasa hivi vyuma vimebana mkuu. Usione soni kukaa kwenye Vitz.
Hiyo Rav 4, ipeleke ikapimwe na computer ili wabaini ubovu.
thanks mkuu, hebu hili wazo la kupimwa na computer nifafanulie vizuri, inaweza ikawa ndo msaada wangu kwa sasa
 
thanks mkuu, hebu hili wazo la kupimwa na computer nifafanulie vizuri, inaweza ikawa ndo msaada wangu kwa sasa
Yep. Pia kuna uwezekano nozzel zimetanuka, plug zimechoka, au oil imezeeka. Angalia ivyo vitu pia. Kwani gari imetembea km ngapi? Mara ta mwisho kufanya service ilikuwa lini?
 
Hiyo itakuwa ni engine ya D-4 1998 ulaji wake wa mafuta ni mkubwa mno tofauti na VVTI-1790 nakushauri iuze hiyo gari uweze kununua gari ndogo kutokana na pato lako
Kwa hiyo nae anaemuziia sio binandamu?
 
CHEKI ENGINE MOUNTING
 
service
Yep. Pia kuna uwezekano nozzel zimetanuka, plug zimechoka, au oil imezeeka. Angalia ivyo vitu pia. Kwani gari imetembea km ngapi? Mara ta mwisho kufanya service ilikuwa lini?
nafanyaga mara kwa mara,mfano sina wiki mbili nibadili oil, kuhusu nozzle nimezisafisha 2 months ago au kutanuka ni zaidi ya kusafishwa?. plug sijabadili kabisa, hebu nifafanulie mkuu
 
Tatizo ni engine mounting, tafuta mtaalam.
 
Kweli kabisa Mkuu tena huwa haziwi stable kabisa hata kwenye umeme zinatesa sana maana unakua umebadili mfumo. utatembea lakini kwa mawazo sana
 
service

nafanyaga mara kwa mara,mfano sina wiki mbili nibadili oil, kuhusu nozzle nimezisafisha 2 months ago au kutanuka ni zaidi ya kusafishwa?. plug sijabadili kabisa, hebu nifafanulie mkuu
Nenda kwa fundi wazichek.
 
Kama wataka gar dogo na still iwe imara kukabiliana na hali za barabara hebu fikilia pia suzuki jimny wide, iko poa wanaita jeep zile
 
Kama wataka gar dogo na still iwe imara kukabiliana na hali za barabara hebu fikilia pia suzuki jimny wide, iko poa wanaita jeep zile
Nakupata, ila mpaka niuze kwanza hii niliyonayo maana sina other fund
 
embu tuambie ukibadili injini unaokoa lita ngapi za mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…