Invinsible
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 314
- 376
hiyo ni mounting boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks mkuu kwa ushauri. kwa kuuliza tu, hivi hamnaga hyo ya 1ZZ yenye cc 1490? maana nikiamua kuingia gharama ya kununua ENGINE natamani kusave mafuta to the maximum. karibuniFunga 1ZZ yenye cc 1790 inakula mafuta vizuri sana na itakaa bila matatizo yoyote
Hahaa.. mahaba ya gari bwana huwa yanachekesha sana,kwa hiyo wewe unataka ununue engine ya IST ubakie na body la RAV4 badala ya kuuza hilo RAV lako na kununua IST na engine yake,nakuonea huruma tu kwenye jina la gari sijui utabadilisha au itakuwaje,RAVIST4...??Hahaha..Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na pato langu, Hapa nawaza ninunue engen mpya vvti ya cc 1290 ile ya ist, je itafaa (itaingiliana)? na inaweza patikana kwa bei gani at minimum? Ninaomnbeni msaada na ushauri wa ziada wataalamu wangu.
thanks mkuu, hebu hili wazo la kupimwa na computer nifafanulie vizuri, inaweza ikawa ndo msaada wangu kwa sasaHiyo pesa ya kununua engine ongezea kidogo ununue Vitz ya m3.5 ili Rav 4 uwe unatumia mara moja moja kwenye mitoko. Sasa hivi vyuma vimebana mkuu. Usione soni kukaa kwenye Vitz.
Hiyo Rav 4, ipeleke ikapimwe na computer ili wabaini ubovu.
nifafanulie mkuu ili nielewe kitu cha kumweleza fundi maana mie gari naendeshaga tu sielewi chochotekagua motain engine
Yep. Pia kuna uwezekano nozzel zimetanuka, plug zimechoka, au oil imezeeka. Angalia ivyo vitu pia. Kwani gari imetembea km ngapi? Mara ta mwisho kufanya service ilikuwa lini?thanks mkuu, hebu hili wazo la kupimwa na computer nifafanulie vizuri, inaweza ikawa ndo msaada wangu kwa sasa
Kwa hiyo nae anaemuziia sio binandamu?Hiyo itakuwa ni engine ya D-4 1998 ulaji wake wa mafuta ni mkubwa mno tofauti na VVTI-1790 nakushauri iuze hiyo gari uweze kununua gari ndogo kutokana na pato lako
Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na pato langu, Hapa nawaza ninunue engen mpya vvti ya cc 1290 ile ya ist, je itafaa (itaingiliana)? na inaweza patikana kwa bei gani at minimum? Ninaomnbeni msaada na ushauri wa ziada wataalamu wangu.
nafanyaga mara kwa mara,mfano sina wiki mbili nibadili oil, kuhusu nozzle nimezisafisha 2 months ago au kutanuka ni zaidi ya kusafishwa?. plug sijabadili kabisa, hebu nifafanulie mkuuYep. Pia kuna uwezekano nozzel zimetanuka, plug zimechoka, au oil imezeeka. Angalia ivyo vitu pia. Kwani gari imetembea km ngapi? Mara ta mwisho kufanya service ilikuwa lini?
Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na pato langu, Hapa nawaza ninunue engen mpya vvti ya cc 1290 ile ya ist, je itafaa (itaingiliana)? na inaweza patikana kwa bei gani at minimum? Ninaomnbeni msaada na ushauri wa ziada wataalamu wangu.
Kweli kabisa Mkuu tena huwa haziwi stable kabisa hata kwenye umeme zinatesa sana maana unakua umebadili mfumo. utatembea lakini kwa mawazo sanaSamahani kwa kutoka nje ya mada, hii inshu ya kununua engine ya gari aina fulani kufunga gari aina nyingine, naona ni mateso makubwa na usumbufu usio na maana wala faida, jichange nunua gari yako ndani ya uwezo wako kiuchumi achana kabisa na gari za kuungaunga zitakutia umasikuni.
Nenda kwa fundi wazichek.service
nafanyaga mara kwa mara,mfano sina wiki mbili nibadili oil, kuhusu nozzle nimezisafisha 2 months ago au kutanuka ni zaidi ya kusafishwa?. plug sijabadili kabisa, hebu nifafanulie mkuu
Noted mkuuNenda kwa fundi wazichek.
Nakupata, ila mpaka niuze kwanza hii niliyonayo maana sina other fundKama wataka gar dogo na still iwe imara kukabiliana na hali za barabara hebu fikilia pia suzuki jimny wide, iko poa wanaita jeep zile