Ushauri: Engine ya gari inatetemeka na kuunguruma sana

Ni kweli inaonyesha tatizo ni hio mounting,ila tatizo linakuja jingine hapo itakubidi ubadilishe mounting zote kwa kuwa utakayoweka itakuwa na attetion sana tofauti na zitakazobaki, inshort badilisha zote.
thanks
 
Ahsante mkuu, ntafanyia hili kazi as conclusion,then i well come back for feedback
 
Thanks mkuu kwa ushauri. kwa kuuliza tu, hivi hamnaga hyo ya 1ZZ yenye cc 1490? maana nikiamua kuingia gharama ya kununua ENGINE natamani kusave mafuta to the maximum. karibuni
Ulaji wa 1ZZ yenye cc 1790 umetofautiana kidogo sana na injini yenye cc 1490 believe me kwani nishatumia toyota wish iliyofungwa 1ZZ na toyota carina ti 5A yenye cc 1490 nikaona ulaji haujatofautiana saana ingawa wish ina cc kubwa kuliko ti
 
Thanks for ushauri mkuu,
 
Nashukuru kwa marekebisho,nlimaanisha Engine. sababu kubwa ni kutaka minimum consuption as posible, ikifika cc1,790 naona kama nimerudi kulekule maana ya sasa ni cc 1998. Unadhani kuna gap wapi nikiweka hii ndogo?
True lover injini ya gari yako inatumia mafuta ya petroli..na itakunywa hiyo petroli tu na wala sio supu.
Acha kuhangaika kuchokonoa gari lako utaliharibu.
 
True Lover, injini ya gari hutetemeka endapo engine mounting zimeisha au inatatizo kwenye mfumo wa mafuta ambao unajulikana zaidi kama "miss".
Miss hutokana na ama mafuta machafu, kuisha kwa plugs, kuziba kwa nozzel au kuharibika kwa "sensor" zinazohusika na mfumo wa mafuta.

Inabidi upeleke gari yako kwa mtaalam ili tatizo lako liweze kubainishwa na kutatuliwa.

Maelezo yako ni mafupi sana kuweza kupata msaada wa maana hapa.

Mshana jr na Prondo wanaweza kukusaidia msaada zaidi wa mawazo.
 
Kiongozi unaonekana sio mzoefu wa gari kabisa na ni muoga wa kufanya service ama kipato chako bado ni hafifu.

Ila kwa nilivyoona hio story yako ni kwamba hio gari umevalishwa na mtu aliekuuzia ametumia udhaifu wako kunufaika kibiashara. Cha maana badilisha hio engine ila pia kabla ya huko unaweza kuamua kufanya ECU checkup ili kupata mu40 wa tatizo la gari yako.

Wazo la kuweka injini ya Vits au IST achana nalo utateseka tu.
 
kwanza nakupa big up kwa ufafanuzi mzuri, sasa tuweke 'girisi' kidogo..

Engine ya 1.8 L 1ZZ-FE I4 ( gasoline ) ikifungwa kwenye Rav 4 old shape kuna faida na madhara gani?
 
kwanza nakupa big up kwa ufafanuzi mzuri, sasa tuweke 'girisi' kidogo..

Engine ya 1.8 L 1ZZ-FE I4 ( gasoline ) ikifungwa kwenye Rav 4 old shape kuna faida na madhara gani?

kama ikiweza kufit kwenye engine bay hakuna hasara zaidi ya faida...

1.8 L 1ZZ-FE I4 (gasoline) ni engine nzuri sana na kama ukiiweka kwa rav 4 old model lazima utanotice some changes kwenye fuel consumption... hii engine ipo econocomical sana
 
kuna bwana mmoja namjua kafunga japo sijaulizia mafundi wa wapi alitumia kufanya kazi hiyo. Natumaini hamna modifications nyingi.
 
kuna bwana mmoja namjua kafunga japo sijaulizia mafundi wa wapi alitumia kufanya kazi hiyo. Natumaini hamna modifications nyingi.

hakuna mods yoyote inayofanyika zaidi ya hiyo swap... ila itabidi upate na control box ya hyo engine basi mzigo unapiga kazi
 
kama ikiweza kufit kwenye engine bay hakuna hasara zaidi ya faida...

1.8 L 1ZZ-FE I4 (gasoline) ni engine nzuri sana na kama ukiiweka kwa rav 4 old model lazima utanotice some changes kwenye fuel consumption... hii engine ipo econocomical sana
Shukrani kwa maelezo kaka
 
Hiyo pesa ya kununua engine ongezea kidogo ununue Vitz ya m3.5 ili Rav 4 uwe unatumia mara moja moja kwenye mitoko. Sasa hivi vyuma vimebana mkuu. Usione soni kukaa kwenye Vitz.
Hiyo Rav 4, ipeleke ikapimwe na computer ili wabaini ubovu.
Bonge la ushauri...vitz wheelbase yake ni fupi hivyo kwenye rough road hakagusi chini kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…