True Lover
Member
- Aug 8, 2016
- 32
- 47
- Thread starter
- #61
thanksNi kweli inaonyesha tatizo ni hio mounting,ila tatizo linakuja jingine hapo itakubidi ubadilishe mounting zote kwa kuwa utakayoweka itakuwa na attetion sana tofauti na zitakazobaki, inshort badilisha zote.