1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
ulaji wa mafuta utaludi palepale usipoangalia, maan hiyo utakayoweka utaipa mzigo mkubwa, so nayo itahitaji wese la kutosha,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijawahi badili, so i can't forecast. the point is consuption imeongezeka mno currently maana ,mwanzoni msikuona kama ilikuwa inaconsume alotembu tuambie ukibadili injini unaokoa lita ngapi za mafuta?
hahaha, CCM TENA. NOZZLE NIMESAFISHA TWO MONTHS AGO, JINJECTION KWA KWELI SIJACHEKI, OIL HUWA NA WEKA YA BP ORIJINO,Kwenye matumizi ya mafuta tazama injection yake Wenda imejaaa uchafu inashindwa kufunga na kufungua kuruhusu ewa inayoitajika kwenda kwenye engine pia nozel zake umezisafisha kipindi gani oil unatumia original au za kuungaunga vyote vinaweza kusababisha gari kura mafuta kama ccm wanavyokura taifa retu
Wakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na pato langu, Hapa nawaza ninunue engen mpya vvti ya cc 1290 ile ya ist, je itafaa (itaingiliana)? na inaweza patikana kwa bei gani at minimum? Ninaomnbeni msaada na ushauri wa ziada wataalamu wangu.
ahsante mkuu kwa maelekezo mazuri, hebu naomba pia nifafanulie kdogo kuhusu hili la kwenda kupima engine kwenye computer kujua matatizo yote ili ikibidi nifanye ili kuweka injini iliyopo iwe kwenye hali nzuri niendelee kuitumia pasipo kuingia gharama kubwa ya mafuta kila sikuunajua madhara ya kufunga engine ya 1NZ kwenye Rav 4?
nikufungue tu macho
Drivetain ya gari yako ni AWD while hiyo 1NZ inatumika kwenye gari za FWD
pili mjapani hakuwa mjinga kuweka engine ya 1.8 ltr to 2.0 ltr kwenye rav 4 alafu ww ufanye swap ya 1.3 ltr engine ni sawa mbilikimo ambebe hasheem thabit
na hata ukifanikiwa itakuwa kwa gharama kubwa sana na utapoteza 4×4 kitu ambacho kwenye rav 4 hata mlima wa changarawe utakuwa unapanda kwa kuslip
turudi kwenye hilo tatizo embu kacheki engine mountin za ndan na nje nina uhakika zitakuwa zimeisha au nenda kwa fundi kwa ushauri zaidi
ila sikushauri eti ufunge 1NZ kwenye rav 4 kama kutakuwa na ulazima wa kufunga engine mpya nakushauri funga 3s VVTI hutajutia
Nunua piki piki nzuri mkuu iwe inakupeleka kazini afu gari tengeneza taratibu usiuze, tumia kipindi cha mvua, hayo makorongo ndo yamekuharibia gari lako ulipendalo.hahaha, CCM TENA. NOZZLE NIMESAFISHA TWO MONTHS AGO, JINJECTION KWA KWELI SIJACHEKI, OIL HUWA NA WEKA YA BP ORIJINO,
ahsante mkuu kwa maelekezo mazuri, hebu naomba pia nifafanulie kdogo kuhusu hili la kwenda kupima engine kwenye computer kujua matatizo yote ili ikibidi nifanye ili kuweka injini iliyopo iwe kwenye hali nzuri niendelee kuitumia pasipo kuingia gharama kubwa ya mafuta kila siku
Duh, safi sana ,nashukuru sana mkuu. natumiaga tu gari bbila kuwa na utaalamu wowote, ngoja nitaulizia wanakofanya na abaut cost kama nta mudu,ila nashukuru,umenipa pa kuanziahyo process inaitwa computer diagnosis kwenye gari yako hapo kuna cable ya diagnosis na pia gari yako ina kitu kinaitwa Engine Control Unit (ECU) ndicho kitakachotoa majibu ikipimwa kwenye computer
(ECU) hii ni computer ya gari inahifadhi data zote za gari na ndiyo inaendesha mifumo yote ya umeme katika engine ya gari lako
nenda GEREJI KUBWA uwaambie umeenda kufanya diagnosis
wakishafanya hiyo ECU itaonyesha matatizo yote ya kimfumo yaliyopo kwenye gari lako mkuu
Ahsante, gari yangu ni kili time, ngoja nimtafute fundi mzuri tuifanyie service ya maana labda itaweza cutulia. Pia naomba kufahamu, hamnaga namna ya kufanya kupunguza consuption ya gari hata ikiwa na CC kubwa?unajua madhara ya kufunga engine ya 1NZ kwenye Rav 4?
nikufungue tu macho
Drivetain ya gari yako ni AWD while hiyo 1NZ inatumika kwenye gari za FWD
pili mjapani hakuwa mjinga kuweka engine ya 1.8 ltr to 2.0 ltr kwenye rav 4 alafu ww ufanye swap ya 1.3 ltr engine ni sawa mbilikimo ambebe hasheem thabit
na hata ukifanikiwa itakuwa kwa gharama kubwa sana na utapoteza 4×4 kitu ambacho kwenye rav 4 hata mlima wa changarawe utakuwa unapanda kwa kuslip
turudi kwenye hilo tatizo embu kacheki engine mountin za ndan na nje nina uhakika zitakuwa zimeisha au nenda kwa fundi kwa ushauri zaidi
ila sikushauri eti ufunge 1NZ kwenye rav 4 kama kutakuwa na ulazima wa kufunga engine mpya hizi ni engine za rav 4
for old model
2.0 L 3S-FE I4 (gasoline)
2.0 L 3S-GE I4 (gasolin
for kili time
1.8 L 1ZZ-FE I4 ( gasoline )
2.0 L 1AZ-FE I4 ( gasoline )
2.0 L 1CD-FTV I4 ( diesel)
ukipata hii diesel itakuwa magoli sana sema ni hadimu sana kupatikana
toyota kili time uuze 10 Million?/ Seriously?/?SHIDA NYIGINI INAKUWA KWA USAWA HUU GARI HAZINUNULIKI KWA HARAKA, MAANA NIPO TYARI KUIUZA BUT FOR NOT LESS THAN 10M
Ni kweli inaonyesha tatizo ni hio mounting,ila tatizo linakuja jingine hapo itakubidi ubadilishe mounting zote kwa kuwa utakayoweka itakuwa na attetion sana tofauti na zitakazobaki, inshort badilisha zote.Injini inatetemeka unapowasha gari au? Embu jaribu kucheki mounting, hasa ile iliyo chini ya engine inawezekana imekatika.
D-4 kimeo kitakatifu. Toa hiyo, weka engine ya kluger vvti. Au weka kavu ya rav4 old model. Kwenye kunguruma na kubwia mafuta ndio mwanzo tu....utapiga rngine chini mpaka ushangae. Zina oil filter moja ya kijinga ndani kwenye engine...kenge kwelikweli.Ahsante kwa ushauri mkuu, Ni kweli injini yangu ndo D-4 1998 na gari bado naipenda maana nakaa vijijini sana so sitaweza kutumia gari za chini, SO HILI WAZO LA KUWEKA VVTI YA CC 1,290 LINGEFAA INGEKUWA POA SANA.
Ahsante, gari yangu ni kili time, ngoja nimtafute fundi mzuri tuifanyie service ya maana labda itaweza cutulia. Pia naomba kufahamu, hamnaga namna ya kufanya kupunguza consuption ya gari hata ikiwa na CC kubwa?
Hahahah aisee[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwenye matumizi ya mafuta tazama injection yake Wenda imejaaa uchafu inashindwa kufunga na kufungua kuruhusu ewa inayoitajika kwenda kwenye engine pia nozel zake umezisafisha kipindi gani oil unatumia original au za kuungaunga vyote vinaweza kusababisha gari kura mafuta kama ccm wanavyokura taifa retu
Kwanza endapo engine ina nguruma kwa sauti kubwa yaweza ikawa selesa iko juu sana jaribu kufuatilia mfumo wakeWakuu wasalaam!
Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na pato langu, Hapa nawaza ninunue engen mpya vvti ya cc 1290 ile ya ist, je itafaa (itaingiliana)? na inaweza patikana kwa bei gani at minimum? Ninaomnbeni msaada na ushauri wa ziada wataalamu wangu.
Namimi nimeshangaa japo si mzoefu sanamkuu utakuwa unaishi hapohapo kazini.
Ghali sana ama?toyota kili time uuze 10 Million?/ Seriously?/?
Anaemuuzia inawezakana akaiuza kama sklepaKwa hiyo nae anaemuziia sio binandamu?
Kwa Arusha Gereji nzuri inayopima kwa computer ni IPI ama zipi????Tatizo ni engine mounting, tafuta mtaalam.