Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Sio mazuri eti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hatariiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mazuri eti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hatariiii
Naaaam, hakika.Story imenyooka sana, kiufupi Jasiri haachia asili.
Asante sana mkuu kwa kunipongeza. Nakuahidi nitaendelea kusema ukweli.Mtoa mada kaongea ukweli kabisa.
kuanzia tena kufungua grocery aendelee kuwa muhudumu😭😭Umeshauri vizuri uwekezaji wa kwanza uwe kufungua account NBC Kisha kuweka hela kidogokidogo baada ya miaka miwili huenda akawa na mtaji wa kuanzia
amekupongeza wapi sasa au hujui maana ya kupongeza?Asante sana mkuu kwa kunipongeza. Nakuahidi nitaendelea kusema ukweli.
Ila Bar maids wakijitambua, mbna wanakua na good life tyuu.Sio mazuri eti.
Mkuu wanapata hela sana sema wanapenda anasa, kukaa kwenye nyumba nzuri, simu kali, kubadili nguo, kujipodoa, imeisha, wakati wakiweka akiba hata miaka 10 wanweza kujenga na kufungua baa zao na kuwa wamilikiUmeshauri vizuri uwekezaji wa kwanza uwe kufungua account NBC Kisha kuweka hela kidogokidogo baada ya miaka miwili huenda akawa na mtaji wa kuanzia
Funzo lingine hili👏👏👏👏kwa kujazia nyamaUmenena......Kuna "kisebule" changu huwa napoa karibu na home baada ya mishe mishe zangu basi bwana mwaka jana mwanzoni wakatuletea kitoto kidogo kutoka huko mbulu, mtoto kanyooka balaaa, kifua kinaita chuchu saa sita, huko nyuma kafungasha hatariii, mtoto nyama nyingiiiii, basi bwana habari zikawafikia wakware, wakawa hawakauki "sebuleni" kwetu mtoto demand ikawa kubwa offer za beer za kutosha binti akatoka kunywa Serengeti lite akaamia kwenye windhoek, Savannah kama huna offer yake ya Savannah tatu, nne basi usijiangaishe, watu wakawa wanapanda dau, akataka macho matatu wakware wakanunua.
Mtoto akazidi kupendeza , sifa na uzuri wake zikavuma mpaka anga za mbali, wadau na wakware maarufu wakahamia sebuleni kwetu na kuweka kambi mpya, sebule yetu ikaanza kuonekana ndogo, hata sisi wenyeji ikabidi tuanze kunywa kwenye seat za gari, pesa ikamwaga mtoto akaanza kumwaga utamu Kama hana akili nzuri, mji ukamchanganya, pesa zikamlevya.
Well to make a story short now ni mwaka mmoja umepita, mtoto wa watu kachuja vibaya Sana, wakware wamemchakaza vibaya Sana, kakosa nuru, nadhani ana udongo mbaya huyu binti maana imekuwa haraka mno, masikini hata kile kifua kizuri Cha mvuto hakipo tena, kachoka masikini, kachunda, habari za hapa sebuleni Ni kuwa binti kaukwaa, wengine wanasema ametoa mimba vibaya, maneno ya binadamu ni mengi hata wale wakware wamemkimbia na kuamia bar nyingine wenyeji tumebaki sebuleni kwetu kwakuwa ndio nyumbani, Sasa hata tunakaa kwa amani, ooh nimesahau mrembo wetu amerudi kwenye Serengeti lite now zile Savannah hakuna tena.
KabisaIla Bar maids wakijitambua, mbna wanakua na good life tyuu.
Wanaona maisha wameyapatia kabisa. 😅😅Wakinywa flyfish wanaona kesho ipo tena. Kumbe wanazeeka
Hiyo ni mimba changanya na stress zake huwa wanaporomoka sana mixer kuchelewa kulala ila mchunguzeni usikute kaanza na podaUmenena......Kuna "kisebule" changu huwa napoa karibu na home baada ya mishe mishe zangu basi bwana mwaka jana mwanzoni wakatuletea kitoto kidogo kutoka huko mbulu, mtoto kanyooka balaaa, kifua kinaita chuchu saa sita, huko nyuma kafungasha hatariii, mtoto nyama nyingiiiii, basi bwana habari zikawafikia wakware, wakawa hawakauki "sebuleni" kwetu mtoto demand ikawa kubwa offer za beer za kutosha binti akatoka kunywa Serengeti lite akaamia kwenye windhoek, Savannah kama huna offer yake ya Savannah tatu, nne basi usijiangaishe, watu wakawa wanapanda dau, akataka macho matatu wakware wakanunua.
Mtoto akazidi kupendeza , sifa na uzuri wake zikavuma mpaka anga za mbali, wadau na wakware maarufu wakahamia sebuleni kwetu na kuweka kambi mpya, sebule yetu ikaanza kuonekana ndogo, hata sisi wenyeji ikabidi tuanze kunywa kwenye seat za gari, pesa ikamwaga mtoto akaanza kumwaga utamu Kama hana akili nzuri, mji ukamchanganya, pesa zikamlevya.
Well to make a story short now ni mwaka mmoja umepita, mtoto wa watu kachuja vibaya Sana, wakware wamemchakaza vibaya Sana, kakosa nuru, nadhani ana udongo mbaya huyu binti maana imekuwa haraka mno, masikini hata kile kifua kizuri Cha mvuto hakipo tena, kachoka masikini, kachunda, habari za hapa sebuleni Ni kuwa binti kaukwaa, wengine wanasema ametoa mimba vibaya, maneno ya binadamu ni mengi hata wale wakware wamemkimbia na kuamia bar nyingine wenyeji tumebaki sebuleni kwetu kwakuwa ndio nyumbani, Sasa hata tunakaa kwa amani, ooh nimesahau mrembo wetu amerudi kwenye Serengeti lite now zile Savannah hakuna tena.
Duh huyo meno yalitoka na nn?Hiyo ni mimba changanya na stress zake huwa wanaporomoka sana mixer kuchelewa kulala ila mchunguzeni usikute kaanza na poda
Kuna mmoja mtaani alipotea namna hiyo hadi na meno alipoteza ila ni alikuwa cute balaa uzuri ulipopotea hata akikusalimia unataka ukimbie
Vipigo nadhani labda alikula hela ya mwamba akamsumbua au alitaka kumuibia wanakutana na madhira sana maana nao Wana wizi wa rejareja sanaDuh huyo meno yalitoka na nn?