USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

Umeshauri vizuri uwekezaji wa kwanza uwe kufungua account NBC Kisha kuweka hela kidogokidogo baada ya miaka miwili huenda akawa na mtaji wa kuanzia
Mkuu wanapata hela sana sema wanapenda anasa, kukaa kwenye nyumba nzuri, simu kali, kubadili nguo, kujipodoa, imeisha, wakati wakiweka akiba hata miaka 10 wanweza kujenga na kufungua baa zao na kuwa wamiliki
 
Funzo lingine hiliπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘kwa kujazia nyama
 
Hiyo ni mimba changanya na stress zake huwa wanaporomoka sana mixer kuchelewa kulala ila mchunguzeni usikute kaanza na poda
Kuna mmoja mtaani alipotea namna hiyo hadi na meno alipoteza ila ni alikuwa cute balaa uzuri ulipopotea hata akikusalimia unataka ukimbie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…