Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Wapendwa nawasalimu.
Leo Nakadori mimi nimekuja nikiwa mdogo sana... sio yule mliyemzoea siku zote...naomba kwa nia njema tu mnishauri. Ni ndefu ila naomba msome tu kwakuwa ni story ya kweli kabisa ya maisha yangu....

Nina ex wangu niliyeanza mishe za mapenzi nae 2017 kwa jina ni J ...mwanaume niliyempenda sana hadi kuamua kwamba huyu ndiye mwanaume wa maisha yangu...na hivyo nilikubali alipe mahari....! Mama yangu hakupenda niwe nae.... ila kwakuwa alinipenda sana hakuweza kwenda kinyume na nikipendacho (RIP mama yangu mpenzi).
J pia alinipenda kiasi cha kuamua hata kupigana na wanaume wengine waliokuwa wananizonga.
Miaka 53 tabia za kijana anarbalehe.....ebu mpotezee sungura poti huyo
 
Ndo hivyo kama kwanzia 2020 haja kutomba hadi leo hii 2023 ujue kakimiss sana hicho kiharage atakitomba tomba na kukinyonya kwa miezi kadhaa akichoka atakutupa kule

Kwani mlikuwa hampashi viporo?
Nilikuwa na hasira nae sana wakat tunaachana
Na mimi niliamua sitaki mpenzi na hata nikikutana na mtu nlikuwa nafil vizur tu tukisex ila baada ya sex nkawa sina hisia tena simtafuti ....akilalamika namwambia nipotezee
 
Wapendwa nawasalimu.
Leo Nakadori mimi nimekuja nikiwa mdogo sana... sio yule mliyemzoea siku zote...naomba kwa nia njema tu mnishauri. Ni ndefu ila naomba msome tu kwakuwa ni story ya kweli kabisa ya maisha yangu....
tu anafanya mambo ya ajabu badala ya kutulia.
Au ni kweli ametulia?

Nimevumilia kusoma yote, nasikitika sana maana wewe unaweza kuwa Dada yangu.

Unawezaje kutupa future prospect ya kuwa na familia yako ya Furaha na kurudiana na mtu kama huyu?

Hemu be respectful to your Mother and allow her to enjoy huko aliko kwa kutorejea kwenye hicho kifungo cha mateso.

1. Hajakutafuta, wewe umeenda mkoa alipo yeye?
2. Umefuata nini kwa rafiki zake? Una shida wewe.
3. Marafiki zake wakakwambia akikuona atatubu.....

Ni shida sana ukijiona wewe ni mrembo sana na ukapewa bichwa, utaharibu future kizembe...
 
Nilikuwa na hasira nae sana wakat tunaachana
Na mimi niliamua sitaki mpenzi na hata nikikutana na mtu nlikuwa nafil vizur tu tukisex ila baada ya sex nkawa sina hisia tena simtafuti ....akilalamika namwambia nipotezee
Huyo mtu ni j au ni wanaume wengine kwa kipindi hicho 🤔? Ulio loose hisia nao after sex
 
Huyo mzee ujana alikula na nani uzee aje kuumaliza kwako. Achana nae au unapenda kukaa eda ukiwa na umri mdogo?

Muda wote huo mlioachana hujapata tu kijana mwenzio? Utakufa kama maradhi kwa kumuendekeza mtu asiyèjua thamani yako
 
Back
Top Bottom